Hapa Mwenge kuna bar ilikuwa inaitwa "one for the road" ambapio mashoga walikuwa wanajazana hapo kwa sana, kwani mwenye Bar hiyo inasemekana ni Basha hivyo wale ni marafiki zake na bila shaka alishawatafuna baadhi.
Kuna siku nilishawahi kukaa hapo akaja jamaa mmoja akaniuliza wapi ilipo baa ya was...ge, nikamuambia sijui sijawahi kuisikia, kisha akaenda jirani na pale akauliza hivyo hivyo akaambiwa mbona ndio hapo ulipotoka, basi akarudi akaja kunifokea kwamba nimemdanganya kumbe ndo hapo hapo. Nilichoka sana.
Hawa watu wapo tena wengi sana hasa hasa vijana wadogo wadogo.