Ongezeko la mashoga bongo. Tatizo ni nini?

Ongezeko la mashoga bongo. Tatizo ni nini?

Kwangu mm naona madawa ya kulevya na ukimwi is no longer big problem....hili suala la mashoga ni janga tena sio janga dogo.....hali ni mbaya....na kitu kinachomaliza hii kitu ni silence....silence ni danger sana....!!!lazima lisemehewe hili....kuna haja ya kuliongelea hilli...
 
Malezi ya kijinga na ulimbukeni ndo matokeo yake haya.
wazazi wako bize hawana muda wa kuangalia makuzi ya watoto na wanavyobadilika tumewaacha wanaangalia picha chafuchafu na matendo mengine
tumedekeza watoto tumewalea kama mayai
sasa tunategemea nini
 
Tanzania ni zaid tunavyoifahamu mtaolewa sana coz mnategemea vya burebure so tanzania bila usoga haiwezekan!
 
ni kweli ushoga umeongezeka kiasi kikubwa ni mmonyoko wa maadili na jinsi magazeti ya udaku yanavyowapromoti ukiona wanavyoandikwa kwenye magazeti ni kamatendo hilo ni sifa na piaviongozi wetu wamelala kisa wanaogopa kuwekewa vikwazo na wafadhili
 
Tamaa tu! Na huu utandawazi ndio kabisaaa..wanaiga wanavyofanya wenzao kwenye mitandao..utaangaliaje gay porn kwenye net? matokeo yake ndo hayo..halafu wanataka makubwa uwezo mdogo..ngoja wapakatwe..
 
That is hormonal abdomalities and non-disjunction during meiosis, mfano mtu anaweza akaonekana kama mwanaume lakini genetic make up yake ina XXY, mtu huyu anakuwa na tabia nyingi za kike na mwishowe tunapata hao mashoga ( waliwa jicho)

Maoni yangu, jamii inabidi ikubaliane na hali halisi, genetic make up determines some one characteristics, so let them be the way they want.
Waacheni waliwe jicho.
 
Ahhaaaaaa wamegundua kuwa hapaumi maana hutobolewi sehemu nyingine na unapata raha na pesa juu so tatizo lako ni nini wakati hiyo nayo ni fulsa???
Nimetembea baa nyingi kinondoni na sinza siku za karibuni, nimeshangazwa na ongezeko kubwa sana la mashoga tena siku hizi hawajifichi kama zamani!! Juzi nilikuwa baa moja pale kinondoni opposite na mango garden nikawakuta wengi sana wanagonga kilaji na kujichekesha kama madem. Ikabidi nimuulize bar maid akaniambia wanafanya sherehe ya rafk yao!!
Hivi tatizo ni nini? Maana ni hatari sana kwa jamii yetu na naona jamii inaanza kuwakubali taratibu
 
Tatizo la ushoga ni matokeo ya kuacha desturi.tamaduni na maadili ya kiafrika na kuigaiga life style ya kizungu.
1.Je chakula unacho kula kina lishe namna gani? Kuna vijana wa kiume unakuta ana chuchu au makaio makubwa.kwa wasichan utasa unawaandama au wembamba shape ya sigara-angalia mabinti wa miaka ya 1990. Vyakula vya viwandani ni hatari jamani
 
Ahhaaaaaa wamegundua kuwa hapaumi maana hutobolewi sehemu nyingine na unapata raha na pesa juu so tatizo lako ni nini wakati hiyo nayo ni fulsa???

Kama vp mwaga mawasiliano yako hapa tuangalie fursa maana hakuna kugharamia kutoa mimba
 
wanaume huwa wanajisifu eti wao ni wao lakini cha ajabu ni kwamba wanawake hawajibadilishi kuwa wanaume ila wanaume wanadhani tunafaidi sana hivyo wataka nao kuwa kama wanawake, mnaaibisha sana.
:mullet::wink2::A S wink::A S wink:
 
New World Order, ndio maandalizi hayo. Freemasons wanapromote same sex marriage, itafikia wataanza kuandamana mitaani wakidai haki zao hata hapa Bongo. Tatizo ni nyakati tunazoishi
 
Kwangu mm naona madawa ya kulevya na ukimwi is no longer big problem....hili suala la mashoga ni janga tena sio janga dogo.....hali ni mbaya....na kitu kinachomaliza hii kitu ni silence....silence ni danger sana....!!!lazima lisemehewe hili....kuna haja ya kuliongelea hilli...

Ndio maana baadhi ya nchi wameshaliona tatizo hili na kutangaza sheria kali ikiwemo vifungo vya maisha na hata kunyongwa mfano majirani zetu wa Uganda, Cameron, Liberia na wiki hii nchini Nigeria.

Nchini Nigeria ushoga umeshaanza kuwa tatizo zito mno la linachukua sura kwa kasi aya ajabu. Lakini wabunge wao wamepitisha sheria kali mno.

Tazizo kubwa ni utandawazi - social media badala ya keleta neema zinaleta balaa. Pili ukosefu wa ajira na vijna wengi wamekuwa wapo wapo tu.
 
Back
Top Bottom