Ongezeko la mashoga bongo. Tatizo ni nini?

Ongezeko la mashoga bongo. Tatizo ni nini?

huo utafiti umeufanya wapi mpaka useme mashoga 99.9% ni waislam?

Ni nani aliekwambia jina ndio dini?hujaona mtu anaitwa juma lkn mkristo?

Ok,km data zako ni za kweli je kule marekan na ufaransa ambapo ndoa za mashoga zimehalalishwa na zinafungwa makanisani nako wakazi wake ni waislam kwa 99.9%?

By ze way,mbona kashfa ya ushoga imelitawala kanisa mpaka watumishi wa mungu wanadai haki yao kwamba waruhusiwe kua mashoga?mbona haya huyasemi?

Akili yako imetawaliwa na udini kiasi kwamba unapindisha ukweli,


Nafikiri anasemea mashoga wa hapa Bongo.
 
Zama za Kikwete mashoga kujificha haiwezekani kwani mtoto wa kwanza wa Kikwete ni shoga, hivyo anawaambia wenzake wajitokeze hadharani kwani taifa letu litatawaliwa na wase.nge hivi karibuni ikiwa Ikulu ni kwao kwa miaka tisa sasa. Hawa dawa yao ni kuwafanya kama Russia wanavyowafanya mashoga huko.

a u serious?
mtt wa jk wa kwanza ni shoga?yupi huyo?
acha basi mkuu
 
Kweli hali imekuwa mbaya
 

Attachments

  • 1390066934019.jpg
    1390066934019.jpg
    46.6 KB · Views: 138
hee
hii kali ya mwaka! !!

Unashangaa nini bi dada, mbona haujashangaa watu kupandwa makaburini lakini hawa oti au wembamba wa reli treni ina pita heeee! au mmasai kutumia Jf..
Hayo ni mawazo yangu na wala sio mapya upunguvu wa ajira ni janga la taifa, kila mmoja analifahamu hili hivyo anajua yeye mwenyewe anavyo weza kukabiliana nalo ndo maana unaona hayo yaliyosemwa yanaongezeka kwa kasi
 
Unashangaa nini bi dada, mbona haujashangaa watu kupandwa makaburini lakini hawa oti au wembamba wa reli treni ina pita heeee! au mmasai kutumia Jf..
Hayo ni mawazo yangu na wala sio mapya upunguvu wa ajira ni janga la taifa, kila mmoja analifahamu hili hivyo anajua yeye mwenyewe anavyo weza kukabiliana nalo ndo maana unaona hayo yaliyosemwa yanaongezeka kwa kasi

hakuna lolote ni roho hizo zimeachiliwa na lucifer kufanya hyo kazi.
 
Naona mashoga wote 99.9% ni waislamu ukicheck majina yao. Hivi hili ni moja kati ya maagizo ya mtume? Mtu akikutania utasikia we jamaa huna ndevu ukienda mombasa au pemba au arabuni (sehemu za waislamu) unakuwa chakula ya wenye ndevu.

Hii kauli imenisikitisha sana. Jaribuw kuangalia hali halisi duniani ilivyo. Kuna nchi gani ya kiarabu duniani wana entertain huu upuuzi? Nchi nyingi za kiarabu Kuna sheria kali sana. Ukiwa mzee wa mini kabang wakakudaka ni kitanzi tu. Lakini nchi za wazungu wanapitisha na sheria kabisa ya kuwa wako huru na haki zao za kufanya mambo hayo hadhalani kama ndoa zitalindwa kwa mujibu wa sheria
 
Kukuuliza ulikotoa tafsiri yako ni kujitoa ufahamu?
Nawezaje kujitoa ufahamu?
Ufahamu ni kitu gani??[/QUOTE

Humu ndani kuna mijitu mingine miboya. Hivi kuna sheikh hata mmoja alishatangaza kuwa anafanya haya mambo. Yule mchungaji wa anglican aliyejitangaza kule uingereza una mkumbuka? Serikali yake imemuunga mkono kabisa. Naenda hivi karibuni uingereza nataka nikaone anavyofanania.
 
Dini ya kiislamu inalani kabisa ushenzi huo sasa wewe sijui kwanini unaonesha chuki yako na uislamu hapa?Usianzishe mgogoro wa kidini humu ndani sio uungwana huo.
 
Na hata makanisa yalianzia katika miji hiyo hiyo unayoitaja.
Sio hilo tu, na wao wamekimbia makwao kuja kung'ang'ania huku huku pwani ambako baada ya kufundishwa ustaarabu wanaanza matusi.
Kama Pwani ni kubaya, watu wake wabaya, mila zao mbaya, kwanini kila mtu anakupenda? usiniambie habari za uchumi na fursa kwa sababu hizo hata maeneo mengine zipo.
By the way, nipo bara ndani ndani huko na nawaona jinsi mlivyo na tabia nzuri na taratibu nzuri.
 
Back
Top Bottom