Ongeza chachu ya mapenzi kwa kufanya yafuatayo

Ongeza chachu ya mapenzi kwa kufanya yafuatayo

Natamani sana kuandikiwa barua ya mapenzi... iwe imeandikwa na ule mwandiko wa kidada, imetaja yale maneno ya kimahaba na vipicha vya maua... any pen pal please?

Naomba address yako kwa pm nikutumie....
Anything for you my pen pal
 
Umesahau na hina na asumini na vilua lol....

Ha ha ha mecheka sana vilua ni kiboko ukiviweke kwa bed...
Mie napenda nkivichuma niwe natembea navyo navinusanusa
 
ila yote yafanyike kwa ubunifu mkubwa sio kama formula bado mambo yatarudi pale pale na ngumi jiwe kama kawa
 
Natamani sana kuandikiwa barua ya mapenzi... iwe imeandikwa na ule mwandiko wa kidada, imetaja yale maneno ya kimahaba na vipicha vya maua... any pen pal please?

Lete sanduku ya barua ntakuandikia pia nkinywa maji nakuona kwenye glass alafu mwisho nakuchorea kopa kubwaaa na mshale sijui mshare ndo hivo hivo

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ha ha ha mecheka sana vilua ni kiboko ukiviweke kwa bed...
Mie napenda nkivichuma niwe natembea navyo navinusanusa

Kuna yale malangilangi unayajua kama vilua ila miti yake mikubwa sana basi vikuktana na asumin harufu yake balaa huwa naweka kwenye nguo zinanukiajeee

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Lete sanduku ya barua ntakuandikia pia nkinywa maji nakuona kwenye glass alafu mwisho nakuchorea kopa kubwaaa na mshale sijui mshare ndo hivo hivo

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

s.l.p 9320,MATONGOTONGO
 
Natamani sana kuandikiwa barua ya mapenzi... iwe imeandikwa na ule mwandiko wa kidada, imetaja yale maneno ya kimahaba na vipicha vya maua... any pen pal please?
Dear Tuko,

Mimi mzima hofu na mashaka ni juu yako mpenzi wangu wa moyoni ndani kabisa,:A S-heart-2::A S-heart-2:.Jana nilikuota umenitumia laki 9,Nilipoamka nikakuta kameseji kako tu.

Dhumuni la barua hii,ni kukuambia Nakupenda sana,Sitakuacha mpaka nakufa, Nililala nakuota mpenzi wangu, Hakika umeteka moyo,roho ,mawazo na kilaaaa kituuuu.....:A S kiss:.
Bebi nimeona new less wig jana duka flani, halafu kuna send off ya yule binamu yangu sijui unamkumbuka kama mimi ndugu itabidi nichangie kiasi kikubwa kidogo..
My Tuko,unajua i cant wait kuona unaenda kujitambulisha nyumbani? :car:
Nakupenda yaani sitachoka kusema hili, Nakumbuka all those good moments we had...jamani Tuko wangu No one like you dunia nzimaaaaa.:violin::violin:

Mwisho wa barua hii usisahau kunitumia hiyo hela basi.:mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah:
Wako kipeenzi,mahabubaaaaa
Mie
 
Kawaida ukiwa kwenye uhusiano wa muda mrefu zile chachu za mapenzi hupungua kulingana na muda unavyokwenda.Kuna njia/mbinu tofauti ambazo zinaweza kutumika kurejesha mihemeko ya mahabati
Kukumbatia kwa sekunde 20:
Kukumbatia/ana ni kitendo kinarejesha ukaribu wenza walio na mapenzi yanayofifia.Ukikumbatiana kwa sekunde 20 mwili unaongeza production ya oxytocin ambayo inaongeza ukaribu wenu.
View attachment 154802
Usafi na mpangilio chumbani:
Chumbani ni sehemu ambayo wenza wanakuwepo muda mwingi wakihitajiana.Usiweke picha za familia kama mkweo au ndugu zako eneo hili,ni vyema pia ukiepuka kuweka luninga chumbani.Vitu hivyo vinapunguza mihemeko ya mapenzi mfano kama luninga inaweza kutumika kama sababu ya kuepuka ukaribu.
View attachment 154727
Tuna ujumbe wa mahaba:
Mtumie ujumbe wa mahaba mwenza wako,kama iwe kwa njia ya barua pepe,au ujumbe mfupi,ujumbe ambao utaamsha mhemeko wa mapenzi na kuonesha hitaji lako kwake.
View attachment 154726
Mwambie unachokihitaji:
Ni vyema kama mwenza wako akijua vitu vipi unapenda na usivyopenda na iwapo kama ametenda kitu usichokiridhia mjulishe na mwambie kile unachokihitaji kutoka kwake.
View attachment 154801
Fanya yale yasiotarajiwa:
Maisha ya mahusiano yamejiegemeza kwenye uaminifu,matarajio fulani kutoka kwa mwenza wako.Ni vitu vizuri vikihusishwa na economy ya familia na utunzaji lakini si kwenye mahusiano.Fanya kile ambacho hutarajiwi kukifanya kama "SURPRISE" mfano watoto wakishalala au asubuhi ukiamka.
View attachment 154803
View attachment 154800

Weka muda kwaajili yenu tu:
Panga muda utoke wewe na mwenza wako ili muwe faragha pamoja bila bugudhi kutoka kwa watoto au watu wengine.Huu utakuwa ni muda muafaka wa kukumbushia ya zamani.
View attachment 154795
Mfanye tendo la ndoa bila "tendo lenyewe":
Tendo la ndoa halihusishi mwili tu bali akili pia.Kuwa creative na kumbambiana/kunyegezana na kufanya vitu ambavyo vinawaunga pamoja bila kuhushisha kuingiliana kunaongeza chachu za mapenzi.
View attachment 154796
Ugomvi usifike chumbani:
Yale yote yanayofanyika nje ya chumbani yanaathiri yatakayotendeka chumbani.Kama mna ugomvi,malizeni huo ugomvi kabla hamjaenda kulala.Mkumbatie mwenza wako,mtanie au mpe busu la nguvu kama mna mabishano yanayopelekea ugomvi.
View attachment 154720
Chunguza ayapendayo mwenza wako:
Fanya yale ambayo mwenza wako anayapenda kama kumpa compliment ili kuongeza kujiamini kwake,msifie mumeo au mkeo kama ni mdada/mkaka mwenye mvuto wa mahaba.
View attachment 154798
Fanya mazoezi au vile vitu unavyopendelea:
Jinsi unavyojitunza na kujijali mwili wako,ndivyo unavyokuwa katika hali ya kujihisi una mvuto wa mahaba.Fanya vile vitu unavyovipenda ili kujihisi una mvuto na kukuongezea kujiamini
View attachment 154717
View attachment 154718
Tembelea tena zile sehemu za fungate:
Kumbushia zile siku za furaha ambapo shamrashamra za mapenzi zilikuwa zimenoga,fanya hayo katika uhusiano wako wa sasa.
View attachment 154804

Asante kwa mafundisho mazuri .
 
Dear Tuko,

Mimi mzima hofu na mashaka ni juu yako mpenzi wangu wa moyoni ndani kabisa,:A S-heart-2::A S-heart-2:.Jana nilikuota umenitumia laki 9,Nilipoamka nikakuta kameseji kako tu.

Dhumuni la barua hii,ni kukuambia Nakupenda sana,Sitakuacha mpaka nakufa, Nililala nakuota mpenzi wangu, Hakika umeteka moyo,roho ,mawazo na kilaaaa kituuuu.....:A S kiss:.
Bebi nimeona new less wig jana duka flani, halafu kuna send off ya yule binamu yangu sijui unamkumbuka kama mimi ndugu itabidi nichangie kiasi kikubwa kidogo..
My Tuko,unajua i cant wait kuona unaenda kujitambulisha nyumbani? :car:
Nakupenda yaani sitachoka kusema hili, Nakumbuka all those good moments we had...jamani Tuko wangu No one like you dunia nzimaaaaa.:violin::violin:

Mwisho wa barua hii usisahau kunitumia hiyo hela basi.:mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah:
Wako kipeenzi,mahabubaaaaa
Mie

Asante my dear...
Kwa jinsi ninavyokupenda sisiti hata kidogo kukupa sapoti hasa kwenye hilo suala la hela.
Bebii, najua unayo kadi ya ATM kwenye pochi yako. Napenda kukushauri bure tu kuwa mahali kunakopatikana hela ni kwenye ATM machine sio kwangu... actually ukishachukua hebu fanya mpango unirushie elfu 50 kwa mpesa maana niko sehemu remote kidogo. ..

Wako wa moyoni...

Tuko...
 
Back
Top Bottom