Ongeza chachu ya mapenzi kwa kufanya yafuatayo

Ongeza chachu ya mapenzi kwa kufanya yafuatayo

Ahsante kwa uzi wako mzuri wenye kufundisha pia nina imani kwa kila unayemuhusu hawezi kutoka kapa lazima kitakuwepo cha kujifunza.
 
Mbona wote wazungu sasa, Umesahau pesa. Kuwa na hela kunafanya mahusiano yenu nakua karibu vibaya mno.
 
Hayo niliisha cover long time lakini imekuwa bila
 
mi mzima,,, tafadhali hiyo wish iwe na hatma, teh teh

^^
I wish you were made for me, I would have danced No one like you!
As long as you were made for someone else, I can't go on, that's why I say,
I wish...
^^
 
thanks uzi umetulia atanisaidia kwenye hii plan yangu...thanks
 
Natamani sana kuandikiwa barua ya mapenzi... iwe imeandikwa na ule mwandiko wa kidada, imetaja yale maneno ya kimahaba na vipicha vya maua... any pen pal please?
 
Back
Top Bottom