Ongeza chachu ya mapenzi kwa kufanya yafuatayo

Ongeza chachu ya mapenzi kwa kufanya yafuatayo

Asante my dear...
Kwa jinsi ninavyokupenda sisiti hata kidogo kukupa sapoti hasa kwenye hilo suala la hela.
Bebii, najua unayo kadi ya ATM kwenye pochi yako. Napenda kukushauri bure tu kuwa mahali kunakopatikana hela ni kwenye ATM machine sio kwangu... actually ukishachukua hebu fanya mpango unirushie elfu 50 kwa mpesa maana niko sehemu remote kidogo. ..

Wako wa moyoni...

Tuko...

Darling, ATM inasoma 2457.00...nikopee hata kwa rafiki bebi jaman mbona unataka tugombane sasa.
Yani unanifanya mpaka nione nilikosea kuwa na wewe....marafiki zangu mabwana zao wanahonga wewe ni shida tupu...

Lov u..siwezi kukuacha kamwe
 
Dear Tuko,

Mimi mzima hofu na mashaka ni juu yako mpenzi wangu wa moyoni ndani kabisa,:A S-heart-2::A S-heart-2:.Jana nilikuota umenitumia laki 9,Nilipoamka nikakuta kameseji kako tu.

Dhumuni la barua hii,ni kukuambia Nakupenda sana,Sitakuacha mpaka nakufa, Nililala nakuota mpenzi wangu, Hakika umeteka moyo,roho ,mawazo na kilaaaa kituuuu.....:A S kiss:.
Bebi nimeona new less wig jana duka flani, halafu kuna send off ya yule binamu yangu sijui unamkumbuka kama mimi ndugu itabidi nichangie kiasi kikubwa kidogo..
My Tuko,unajua i cant wait kuona unaenda kujitambulisha nyumbani? :car:
Nakupenda yaani sitachoka kusema hili, Nakumbuka all those good moments we had...jamani Tuko wangu No one like you dunia nzimaaaaa.:violin::violin:

Mwisho wa barua hii usisahau kunitumia hiyo hela basi.:mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah:
Wako kipeenzi,mahabubaaaaa
Mie

mmh mna mitihani nyie!
 
Back
Top Bottom