Oneni upuuzi wa Sugu

Oneni upuuzi wa Sugu

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,840
Reaction score
6,141
tar.28 mwezi wa 12 mwaka 2012 alitumiwa mualiko wa kwenda kua mgeni rasmi kwenye sherehe za ufunguz wa ofisi za umoja wa waendesha bajaj mkoani mbeya,na akakubali na kuwaahdi kua tar.1 mwez wa 1 mwaka huu,yani siku ya mwaka mpya angeenda,vijana wa watu wakaandaa kila kitu lakini cha kushangaza hakufika.!alionekana mitaa ya airport pub na kampani yake akichafua meza,vijana wakaenda kumuomba tena akasema kwa sasa hana mda,wakati jana alikua mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa internet cafe ya mwanamziki w hiphop maarufu kama izzo b,.

vijana wale baada ya kuona wanasumbuliwa na kudhalauliwa na sugu wakaona wamualike mlugo ambae amefika tena kwa mda muafaka.!

inashangaza kuona sugu alie kipenz cha vijana akilinga kiasi hiki,wakat hawa watu wa bajaj na bodaboda wamempa kampani kubwa sana kwenye uchaguzi 2010..

inamaana leo hii ndo anamuona izzo b aliekua adui yake kipnd ana bifu na clouds media ni bora kuliko wana mbeya.?
huyu jamaa,sometimes haeleweki..
 
Ana miaka miwili tu pale... baada ya hapo hana chake
 
tar.28 mwezi wa 12 mwaka 2012 alitumiwa mualiko wa kwenda kua mgeni rasmi kwenye sherehe za ufunguz wa ofisi za umoja wa waendesha bajaj mkoani mbeya,na akakubali na kuwaahdi kua tar.1 mwez wa 1 mwaka huu,yani siku ya mwaka mpya angeenda
huwezi kufanya shughuli za uzinduzi wa ofisi siku ya mwaka mpya, no wonder aliwapiga chini! Isitoshe, notice yenyewe ya December 28 kwa tukio la January 1st ilikuwa too short, tayari kulikuwa na prior commitments zimepangwa tangu November.
 
Wana Mbeya japo simpendi mbunge wenu ila jifunzeni uvumilivu, kijana wenu bado ana muda wa kujifunza na ninyi ndio walimu wake. Msisahau hayo maisha ya kushinda mabaa na mapub ndiyo yaliyomfikisha hapo.
 
yapo anayoyafanya mengi na bora zaid ya hayo,,
huo sio upuuzi,
sugu is stil moto chini
 
tar.28 mwezi wa 12 mwaka 2012 alitumiwa mualiko wa kwenda kua mgeni rasmi kwenye sherehe za ufunguz wa ofisi za umoja wa waendesha bajaj mkoani mbeya,na akakubali na kuwaahdi kua tar.1 mwez wa 1 mwaka huu,yani siku ya mwaka mpya angeenda,vijana wa watu wakaandaa kila kitu lakini cha kushangaza hakufika.!alionekana mitaa ya airport pub na kampani yake akichafua meza,vijana wakaenda kumuomba tena akasema kwa sasa hana mda,wakati jana alikua mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa internet cafe ya mwanamziki w hiphop maarufu kama izzo b,.

vijana wale baada ya kuona wanasumbuliwa na kudhalauliwa na sugu wakaona wamualike mlugo ambae amefika tena kwa mda muafaka.!

inashangaza kuona sugu alie kipenz cha vijana akilinga kiasi hiki,wakat hawa watu wa bajaj na bodaboda wamempa kampani kubwa sana kwenye uchaguzi 2010..

inamaana leo hii ndo anamuona izzo b aliekua adui yake kipnd ana bifu na clouds media ni bora kuliko wana mbeya.?
huyu jamaa,sometimes haeleweki..

wivu na umbea
 
Hizi habari lazima zibebeshwe vithibitisho na ushahidi.vinginevyo ni MAJUNGU TUU NA KUCHAFUANA TU.
 
huwezi kufanya shughuli za uzinduzi wa ofisi siku ya mwaka mpya, no wonder aliwapiga chini! Isitoshe, notice yenyewe ya December 28 kwa tukio la January 1st ilikuwa too short, tayari kulikuwa na prior commitments zimepangwa tangu November.

yemwenyewe ndo alpanga cku hyo..
 
Mleta uzi ndio mpuuzi!!! Kutaka kumpigia debe mzee wa tanganyika na zimbabwe.

hata cmpendi kabsa amim,kwa7bu ya skendo yake ya kutembea na mama na mtoto wake huku mbeya,lakn kwa alchofanya leo imenbd nmsfu..
 
tar.28 mwezi wa 12 mwaka 2012 alitumiwa mualiko wa kwenda kua mgeni rasmi kwenye sherehe za ufunguz wa ofisi za umoja wa waendesha bajaj mkoani mbeya,na akakubali na kuwaahdi kua tar.1 mwez wa 1 mwaka huu,yani siku ya mwaka mpya angeenda,vijana wa watu wakaandaa kila kitu lakini cha kushangaza hakufika.!alionekana mitaa ya airport pub na kampani yake akichafua meza,vijana wakaenda kumuomba tena akasema kwa sasa hana mda,wakati jana alikua mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa internet cafe ya mwanamziki w hiphop maarufu kama izzo b,.

vijana wale baada ya kuona wanasumbuliwa na kudhalauliwa na sugu wakaona wamualike mlugo ambae amefika tena kwa mda muafaka.!

inashangaza kuona sugu alie kipenz cha vijana akilinga kiasi hiki,wakat hawa watu wa bajaj na bodaboda wamempa kampani kubwa sana kwenye uchaguzi 2010..

inamaana leo hii ndo anamuona izzo b aliekua adui yake kipnd ana bifu na clouds media ni bora kuliko wana mbeya.?
huyu jamaa,sometimes haeleweki..

Huu ni umbeya tu. Unataka kumchafua kamanda sugu. Umeshindwa. Lete vielelezo vya ushahidi.
 
Jaman maendeleo hayawez kuletwa na mbunge tu nadhan ni wanambeya wote mnapaswa kuungana na ciyo kulaum
 
Majungu ya kike na uzandiki ndio kazi zinazowaweka mijini wanaume wazima na mandevu kidevuni kama we mleta thread,
Mwanaume acha majungu na umbeya na badili yake piga kazi koz unaweza ukaposwa na kupewa zawadi ya khanga bure na wanaume wenzako alafu ukabaki unahamaki.

naona mate yamekutoka mwanangu,we ndio faiza demu wa sugu nin.?
 
mwaka mpya ni siku ya kula bata na marafiki/ndugu si shughuli za kazi,mnemuita siku nyingine
 
Majungu ya kike na uzandiki ndio kazi zinazowaweka mijini wanaume wazima na mandevu kidevuni kama we mleta thread,
Mwanaume acha majungu na umbeya na badili yake piga kazi koz unaweza ukaposwa na kupewa zawadi ya khanga bure na wanaume wenzako alafu ukabaki unahamaki.

hujaongea kitu aisee
 
Back
Top Bottom