One point gun

One point gun

Credio

New Member
Joined
Aug 24, 2016
Posts
4
Reaction score
2
Siku kama ya Leo mwaka 1911 huko London yalizuka mapigano baina ya polisi na wahamiaji wa latrivia baada ya kiongozi we kundi LA wezi kuuwawa baada ya kuiba katka maduka ya Vito vya thamani huko Houndsditch December 1910.ni katika mapigano hayo police waliomba usaidizi wa jeshi lao LA nchi.ni tukio hili lilionekana kama filamu iitwayo the man who knew too much 1934 na the siege of Sidney street 1960 .tujaribu kujifunza kutokana na hili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom