One night stand ...


na mi nilikuwa najiuliza huyo bidada ni mropokaji au! kitu cha ONS unabwabwaja tu mbele za watu na umeolewa!!!
huyo kweli alikuwa anataka dudu ya baba paroko.
 
mie nliwai kutana na mdada katumwa mboga sokoni hanijui wala cmjui lakn zari tu njiani stori stori mpk tukakubaliana twende gest tukapige show ya kibabe. vipi hiyo nayo ni ONE NIGHT STAND au

huhuhuuuu yako ilikuwa mchana so ni one noon stand
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…