Oh dear. How did you get your panties in a twist so fast, NN? Second of all, you are some nasty piece of work. Repulsive and annoying. Your little tantrum here is a bit out of place. Or is it? lol
Maybe you should man-up a little and accept the rejection...And yes, NN. There is no way in friggin hell that I'd ever let my guard down and let a man like you get within a mile of me. You can bet your twisted panties on that.
and ahhhh dont u get bored of telling us how good u r while we know deep inside you are a big loser.....
Owkey sir.........
Vp lakini ulishawahi kuji ONS?
Na quickie je????????
Niliwahi kumpata demu m1 alikuwa mtungi ile mbaya nikaenda kuegesha naye kijengoni lkn kulipokucha alishindwa kuelewa alifikaje pale kwangu na kuanza kuniuliza maswali ya kzushi kibao akaniomba physical add ya ninapofanyia kazi nikampa zilipopita cku nne akanijia na magwanda ya polisi ckuamini,akaniambia cntompata tena cku ile lilikuwa zali tu.
Ngoja nikupe siri....kwa seasoned playa kama mimi, huo ni mwiko nambari wani! Kwenda kwa shori uliyekutana naye usiku huo huo si salama hata kidogo. Fanya juu chini uende naye kwako. Kama kwako namna gani vipi, mpeleke kwenye geto la mshikaji. Kama kwenye geto la mshikaji hakieleweki nenda gesti au motel au hotel. Kama hayo yote hayawezekani, mega kwenye gari kwenye kiti cha nyuma.
Nina rafiki yangu wa karibu sana aliuwawa miaka saba iliyopita. Alifumaniwa na demu wa mtu nyumbani kwa huyo demu. Akapigwa shaba akafa papo hapo. Mpaka leo hii nina machungu. Laiti angeongea nami kabla hajaenda kwa huyo mwanamke huenda angekuwa bado yu hai!! Sad story
Mkuu Asprin,Au hii inakaaje? Jamaa kasimamia harusi na mwanamke ambaye si mkewe. Mke wake alikuwa kajifungua hivyo hakuweza ku attend kwenye harusi na huyu mama mume wake kasafiri mkoa hivyo naye hakuweza kufika harusini. Baada ya shamrashamra wakawasindikiza maharusi mpaka hotelini kwa ajili ya honeymoon. Bila kutegemea nao wakachukua room wakajivinjari mpaka monnie.... wote wakajutia na ukawa mwisho wa mahusiano.
Angalizo hapo, sijasema kama hiyo nilifanya mimi!!:rain:
Mkuu Asprin,
Kitu kama hii iliishanikuta!.
Nilikuwa Best Man wa harusi ya a friend, matron ni best friend wa bibi harusi harusi ni Bahari Beach enzi hizo, maharusi wakachukua kile kihenge kimoja kizima, the plan ni maharusi juu, matron chini.
Ile tumemaliza sherehe na kuwasindikiza maharusi room yao, Matron anatakiwa kushuka room yake chini alale, akaogopa kulala peke yake!, kumbe Matron alipanga kuwa na mtu wake, sijui what happened, mtu hakutokea!. Bwana Harusi akaniuliza kama naweza kumcompany matron!, kwa jinsi huyo matron alivyo!, hata ningekuwa Padri wa Katoliki, upadiri, ungenishinda!, ni kama zali tuu!. Matron akanipiga beat kuwa usitegemee to do anything else zaidi ya kuni company tuu kwa sababu vyumba vya hivyo vihenge vya Bahari Beach vinaogopesha!.
That was it!, the rest ni history!.
Naomba msiniulize home nilisema nini as I was not single!.
Pasco
Walaaaahiii nyie wanaume sijui tuwafunge kufuli?????multilock
Play boy - Niki Mbishi
Nini tena..?
We hujawahi?
wadau mmetiririkaa,,,
mi sijawahi yan ndo nashanga