One night stand

Unajua ni kwanini hawa jamaa huwa wanaonekana kama wana hanga over wakati wa mchana??
kwasababu wanapenda sana one night stand.........utakuwa ndugu zao wewe.

Hyena-Near-African-Savanna-Serengeti-Park-Tanzania-305882.jpg

Mkuu una kesi ya kujibu kwa kunichekesha siku ambayo sikupanga kucheka..
 
Makubaliano tuOTIS
Hiyo sio one night stand. Hapo ni byashara ya MTM, pay as you go! Ukienda bar au club yoyote utawapata. One night stand inatolewa free of charge, free of link...
 
Hapa nina mashaka,zinapatikana wapi hizo na mbona sijawahi kukutana nazo?
 
Ndio one night stand sasa hiyo. Sio kila mtu anashiriki. Lazima wote mmeamua iwe hivo, na kumconvince mwenzio ndio zoezi kubwa.Inaweza kua kati ya watu wanajuana, au watu hawajuani, mradi iwe Free of Charge na isizae chochote. yaani hali ya before=after.
 
mfundishe huyo maamuma wa ofisi ndogo ya Lumumba.
anaropoka tu vitu asivyovijua
 
Ndio one night stand sasa hiyo. Sio kila mtu anashiriki. Lazima wote mmeamua iwe hivo, na kumconvince mwenzio ndio zoezi kubwa.Inaweza kua kati ya watu wanajuana, au watu hawajuani, mradi iwe Free of Charge na isizae chochote. yaani hali ya before=after.

Bado nina mashaka,hivi dunia yetu ya leo bado kuna vya bure maana hata huku kwetu maswa kila kitu inabidi ulipie hasa linapokuja suala la kupitisha usiku.
 
Naomba.................
Mi siwezi kwa sababu nitashindwa kufanya mapenzi na mtu nisie mpenda, na ninae lazimishwa kuto mpenda baada ya hapo. Ila ukitaka kweli utawapata tu. Ulikua hujakutana nao sababu hukujua ni vitu vinawezekana...
 
Back
Top Bottom