One night stand with JF member

One night stand with JF member

Status
Not open for further replies.
Mkuu! Hivi pale tiptop panafaa ukiwa nyagi ya sita? Ndogo ofcoz.
Halafu nasikia unataka kupitia one of the scandinavian countries on your way to german ni kweli mjomba? Hahahaaa!

hahaaa mkuu Bigirita! kuna Fellow Tablet1, Fellow Tablet, TF..... sijui unamaanisha member yupi...
 
...astaghafirullah!....

Mpaka nawe umenasa mtegoni? Ndio kusema watakatifu tumebakia Mimi, Aspirin, na Klorokwini tu?
ama kweli huku ni 'kujivua gamba!'

Nashukuru wazee wa familia, MTM, RR na BAK walishastaafu na mapema mambo haya.
Teamo analea!

Am Out!

Acha nisisitize kwa maandiko, amin nakwambia mzee Mbu kama kile kiama feki kingesimama juzi basi paradiso tungeingia sita tu, mimi bana hata ukiniona PM basi ujue nahubiri miujiza ya moses, unajua watu wengi wamesahau miujiza ya moses kwa ujio wa jesus, ni jukumu letu kukumbushana jamani.
 
Personal question wangapi humu wamefanya one night stand?

tupo wengi sana ila najua wenzangu wake kwa waume wanaona noma kueleza bayana.
Mi hata kwenye center za vikongwe napiga navyo one night stand, vinanipa marupurupu yao yote wananimwagiwa mheshimiwa.
 
Acha nisisitize kwa maandiko, amin nakwambia mzee Mbu kama kile kiama feki kingesimama juzi basi paradiso tungeingia sita tu, mimi bana hata ukiniona PM basi ujue nahubiri miujiza ya moses, unajua watu wengi wamesahau miujiza ya moses kwa ujio wa jesus, ni jukumu letu kukumbushana jamani.

ati..:doh::doh::shocked::mvutaji::smokin::boxing::A S 13::A S 13:
 
One night stand kiswashili chacke ndo nini??

Mi nadhani kwa utamaduni wa kiafrika hakuna kitu kama one night stand. Ni mambo tunajaribu kuiga .Kkiafrika afrika hii kitu mkionjana mara moja inakuwa bond. na unaweza kuwa uwa muendelezo.
Kituo kimoja hahahataaaaaaatweee
 
tooba sijui nilikuwa napitia hapa kutafuta nini mwenzenu.. maana maswali kadhaa yamenijia;

Hivi one night kanuni zake watu wanazielewa? huwezi kuwa na one night ni mtu ambaye mnafahamiana! One night ina sheria hizi:

a. Total stranger
b. No name, no kutambulishana
c. No kubadilishana namba walla kujuana mnafanya kazi gani
d. Asubuhi ukiamka mnaachana bila kuagana wala kupeana ahadi ya kukutana tena.


Sasa mkishaanzia PM n.k za JF hiyo si one night stand.. it sounds like a permanent stand....

mhh!! hii ndio mara ya kwanza kusikia hizi sheria! Mwisho mtadai katiba juu ya one-nighters!hahahaha
za jf sizijui...😉
 
ahahahaha....Asha D hapo si ni sawa kukikimbia kivuli chako mwenyewe?
na je mkiwa mnafanya kazi ofisi moja? itakuwaje hapo
BjBj experience naamini hua tofauti hivyo na outcome tofauti... kama it was a great one nite stand i guarantee hizo PM ndo kabisaaa... ikiwa tofauti unakwepa hata kuchangi post ambayo kapita mwenzio....lol
 
ahahahaha....Asha D hapo si ni sawa kukikimbia kivuli chako mwenyewe?
na je mkiwa mnafanya kazi ofisi moja? itakuwaje hapo



Moja ya rules ya one nite stand hakikisha huyo mtu ni stranger... kama unamfahamu hio tena ni fling si one nite stand...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom