One night stand with JF member

One night stand with JF member

Status
Not open for further replies.
Ebanae mambo vipi mh? Naona unakolezea chumvi lol....!! Ngoja nitafute Super Injunction ili tusijadili baadhi ya topic zinazohatarisha watu kupata wachumba etc etc.

Mkuu mbunge wangu atazijadili bungeni on my behalf using his immunity privilege au tutazihamishia twitter.
 
One night stand kiswashili chacke ndo nini??

Mi nadhani kwa utamaduni wa kiafrika hakuna kitu kama one night stand. Ni mambo tunajaribu kuiga .Kkiafrika afrika hii kitu mkionjana mara moja inakuwa bond. na unaweza kuwa uwa muendelezo.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Lizzy kama huyu. Imagine unamkuta Asha D anakatiza mitaa ya Samora na kikongwe kama huyu. Haa haa haaaa. Anzia dakika ya tatu.



Hahhahah....EMT thank you very much for this useful video...baadae ntaiangalia yote!!

Tukirudi kwa mzee ukikutana na kama huyo hat wasiwasi unakua hauna mpaka mzee atakapofanya kweli!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Nililijua but nikashindwa kuweka in writing...lol


The Following User Says Thank You to Gaga For This Useful Post:

Asha D (Today)​
hahahahahaha lol ulishindwa kwa nini humu tunajimwaga tu mpendwa
 
  • Thanks
Reactions: EMT
nahisi i am giving you some tensions...
I wonder ..is it sexual tensions??????lol
but thanx anyway....


The Boss i was not yet ready... nilikwambia sijamaliza kukusoma hukuniamini... Alafu kuhusu sexual tensions...lol... ingekua hivyo ningemaliza sasa hivi na hapa hapa woote wakiwa mashahidi but bahati nzuri au mbaya sio hivyo....lol
 
Sasa sasa saa ya kwenda kwetu, kwa heri mwalimu kwa heriiiii, tutaonana keshooooooooo
 
Mkuu si unajua mambo ya samaki mmoja akioza...... Sasa baadhi hawakawii kutujumlisha wote kwenye kundi la wasaka one night stand lol...!!

Hahahaha Mkuu ile ni methali tu! imethibitishwa kwamba haina ukweli 🙂 Kama unasarandia binti we songa mbele tu unaweza kuja kujipongeza kwa juhudi zako.
 
kweli kabisa msiwaogopeshe, na nyie vijana msiwadanganye wenzenu mkawapa machungu ya moyo, unashangaa tu mtu umezoea kumuona jamvini mara kaishia kabisa kumbe keshatendwa anaona jukwaa chungu lol!

Pia mwingine anaingia mitini baada kupata one night stand.
 
the boss i was not yet ready... Nilikwambia sijamaliza kukusoma hukuniamini... Alafu kuhusu sexual tensions...lol... Ingekua hivyo ningemaliza sasa hivi na hapa hapa woote wakiwa mashahidi but bahati nzuri au mbaya sio hivyo....lol

actually
umezungumza kitu ambacho nimewahi ambiwa humu mara kadhaa..
That i am a difficult person for someone to figure out.....
 
Mkuu mbunge wangu atazijadili bungeni on my behalf using his immunity privilege au tutazihamishia twitter.
Heheh twitter kiboko si unajua kule huwezi kufunga mtu mdomo.. Ebanae wanasemaje kwenye jukwaa la kimataifa maana siku hizi napita kusoma tu..Ila since mpira umeisha nitaanza kuegesha.

Nina rafiki yangu alifanya night stand akaishia kupata mtoto, mwingine akaishia kupenda ila ndio hivyo number ya simu hakuwa nayo maana alikutana na bibie club.

Personal question wangapi humu wamefanya one night stand?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
One night stand kiswashili chacke ndo nini??

Mi nadhani kwa utamaduni wa kiafrika hakuna kitu kama one night stand. Ni mambo tunajaribu kuiga .Kkiafrika afrika hii kitu mkionjana mara moja inakuwa bond. na unaweza kuwa uwa muendelezo.

Kweli mkuu. One night stand sio utamaduni wetu japokuwa siku hizi hii kitu imesambaa sana kwenye culture yetu. Lakini ukitafsiri one night stand kama casual sex, then it has been there for a long time. Tatizo wanaume wako less choosy kwenye attractiveness ya potential one-night stand. Kwa mwanamke wa kiafrika, mpaka afikie hatua ya kufanya casual sex na mwanaume, then guy better be a hottie. Whilst men lower their standards when it comes to one-night stands, women raise their standards. That what it used to be until money took over.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom