AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,118
uhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
How do we get to know you leaving such remarks....lol..
uhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
How do we get to know you leaving such remarks....lol..
its a way of saying....
where are my people....lol
Mhh hii ilikuwa jana usiku nishaamka nimekuacha stand
ndo tunatoka kukamuana na memba mwenzangu kisha ananiambia alitaka kuonja tu kama wana JF tunajua mapenzi kama tunavyo andikaga. Najihisi kudhalilika maana nimepiga kimoja tu nkalala. Nahisi ni zile pombe za happy hour holiday inn
Ilikuwa tofauti, tofauti sana.
Vitana mnataka wenza kila mahali, hata chooni. Kuweni waoga kidogo, mnaweza kuacha kutamani hovyo hovyo.
1 nite stand inaweza kuwa lisence to unknown!
aaah wapi dear... wakati na ujana wangu ulisha pita siku nyiiingi hamna mtu atanisogelea kwa hizo statement...
Hahaha, au ww ndo wale unaweza mfuata kwa nyuma from kkoo to posta, akigeuka tu, unatoa shikamoo!
Mimi na wewe hatudhuriani dearUnanianika kihivi? Nitakuombea super injunction.
Wewe tu na roho yako siku hizi wamama hawazeeki kabisa ni kujipenda tuIngekua hivyo mbona ingekua raha! Hamna kifaa chochote kinauza kwangu... maana vyoote vya kuvutia vimekongoroka...
Wewe tu na roho yako siku hizi wamama hawazeeki kabisa ni kujipenda tu
bora nusu shari, nimebandika ki quote changu hapo kwenye linkDear ningesema bado ni mrembo na naweza pata a one night stand kila siku that day,
ningeleta havoc m-thread ulienda kwa kasi! Wangenichamba....lol...
Nikaepusha shari... like i said i love being a woman and it's related pressures....
Pitia this link (am not sure kama ulipitia but am reminding you...)
my life i live to the fullest weneva possible...lol
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/137554-live-you-life-to-the-fullest.html
bora nusu shari, nimebandika ki quote changu hapo kwenye link
EMT utamuweza kwa kupenda kinyume, kwenye kiswahili alipata AHa ha ha ... ingawa wengine wanaamini vingine lakini last time nilifuata hivyo...lol
But naanza kubadilisha mawazo in courtesy ya EMT..
Heri shari kamili kuliko nusu shari - EMT
EMT utamuweza kwa kupenda kinyume, kwenye kiswahili alipata A
Ulifanikiwa sasa?Nimefurahi nawe umegundua hilo, nilikua lakini naikubali saana ya kutafuta one's own co-oparate world... lol
Ulifanikiwa sasa?