AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,078
Yea kwenda kinyume nyume. lol
Ni nzuri but i think sometimes uwe una compromise kama hapa..lol
Yea kwenda kinyume nyume. lol
EMT kitu ambacho mimi personally naamini ni kua ukishapata mchumba the mwenza via JF, lazima upigwe STOP za electronic networking zoote... and naona ni understandable...
Ha ha ha ha ha ha Buji buji kwa vituko wewe sikuwezi.
Habari yako bana