EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,357
Sasa sasa saa ya kwenda kwetu, kwa heri mwalimu kwa heriiiii, tutaonana keshooooooooo
Nami pia kwaherini. I am off with Gaga for a one night stand.
Sasa sasa saa ya kwenda kwetu, kwa heri mwalimu kwa heriiiii, tutaonana keshooooooooo
Hhahaah!Nami pia kwaherini. I am off with Gaga for a one night stand.
Hhahaah‘!
Kesho naanzisha thread kutafuta wangu!
Tread carefully...lol.. kabla hujafanya hivyo hakikisha CPU hayupo kabisaa... Kesi nyingine hapa No...
Nami pia kwaherini. I am off with Gaga for a one night stand.
Hahaha....ntakua mwangalifu partner!!Nataka nione what the fuss is all about!!
umegundua watu wameondoka in pairs partner?? Njoo nasisi tusepe..
Partner naona THE BOSS kashatishika...ngoja nimsindikize mpaka hapo nje alafu nije twende zetu!Umegundua watu wameondoka in pairs Partner?? Njoo nasisi tusepe..
mnaanza nitisha sasa..
Na nyinyi ni partners? Lol
sasa unatishika nini na wewe?!
si hapo partners muende kulala....
What if......lol???????????
si hapo partners muende kulala....
What if......lol???????????
we bwana....refer to my partner‘s post sio unavyofikiri!!
Hheheheh!!relief ....lol
hheheheh!!
Why exactly.....?!
to lose a woman to another guy that is painfull
to lose a woman to a woman that is insults lol ha ha haa
Mlio experience hii kitu hebu mtujuze, baada ya kupiga tukio hali ikoje?
PM na vikwerombwezo vinaewndelea?
Hahaha!!! Alias si unaona Lita moja ya mafuta 2000, ukija kwenye msosi unaambiwa kilo moja ya unga wa sembe 900 si balaa hili lol!!!Sorry nimeshindwa kabisa kuelewa umenijibu nini my concetration imeangukia hapa... Makes me wonder what goes in that mind of yours..lol
Judgement Day has been postponed following the rising cost of fuel
to burn sinners and high food prices to feed people in Heaven. Stay Safe
Hahaha!!! Alias si unaona Lita moja ya mafuta 2000, ukija kwenye msosi unaambiwa kilo moja ya unga wa sembe 900 si balaa hili lol!!!
One night stand nouma maana ya kwangu inaenda kuwa One Month Stand halafu una kesi ujue jana ulikuwa unafanya nini hivi kwanini???upo?sikuoni au ni hii one nyt stand?