"One night Stand" nisaidieni jamani

"One night Stand" nisaidieni jamani

Umeelewa kama mimi. Unakutana na mtu club, mnaenda sehemu hata majina hamjuani wala namba za simu hampeani, mnafanya yenu, mnaagana...hiyo ndio one night stand.
Hiyo nyingine labda ni friends with benefit...!

Friend with benefit mbaya sana asikwambie mtu
 
Ila watu ni wabishi dadeki yani unamganda mtu as if mliingia mkataba?? Kwamba sheria itamfunga! Aiseeee huyo hajakutana na akili za usiku walai
 
Kula kigololi cha mtu afu ukimbie sio ishu, uwe unawaambia kabla mtu anajua kabisa kazi ni moja tu kudonoana na kusepa!!!!
 
Ila watu ni wabishi dadeki yani unamganda mtu as if mliingia mkataba?? Kwamba sheria itamfunga! Aiseeee huyo hajakutana na akili za usiku walai

MankaM sijui nini hata. mtu anaona kabisa unampotezea lakini wapi anakuja tu. Inatakiwa mnakulana na kesho mambo yanaendelea kama kawaida...sasa wengine eti wanaweka mpaka wivu wakati wanajua kabisa hamna serious mahusiano.
 
Last edited by a moderator:

Ni shida... Asa hapo ushauri qa bure ni kumpa makavu kwamba bwana eee mimi nina mke wangu huyu hapa wew nilikuonja tu hahahaaa 😛😀
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom