illuh
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 1,254
- 701
Usipendelee kubadilisha badilisha kila kukicha papuchi wewe...zitakuponza.....
Tuliaaa tafuta permanent GF.
Unaona sifaa .......kumbe sifa za kijinga
Tuliaaa tafuta permanent GF.
Unaona sifaa .......kumbe sifa za kijinga
Hivi hilo neno hapo juu, unamwambia jinsia nyingine kabla au baada ya kugegedana?
Mimi huwa nawaambia "u know, just for fun", msinicheke jamani, au nakosea nini? maana wengi wananiganda baada ya tendo.
Binafsi naona kama nikiwaambia onenight stand anaweza kukimbia maana hawa wadada wa maofisini kwa kujishaua?