Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 5,005
- 10,715
Hapana nilitak n8mwambie mtoa madasijaelewa maana yako
Hapana nilitak n8mwambie mtoa madasijaelewa maana yako
Mwaka Gani?Mimi nimefika Dar sijamaliza hata mwaka nimepata fursa za kutosha.
Hizi ndo kauli zimewalaza vijana wa darMkoani hakuna mzunguko wa hela. Huko nenda kalime au kama unepata kazi, lakini kwa mishe mishe tu za na pale kijana akomae hapa hapa mjini
PointKuna watu ukiwashauri tu waondoke Dar es Salaam, wanaweza kukasirika kiasi cha kukutishia maisha. Inaonekana Dar imekuwa si makazi tu, bali ni sehemu ya utambulisho na fahari kwa baadhi ya watu.