once a player, always a player

once a player, always a player

hivi kuna mwanamke bikra siku hizi? na kama hakuna basi nyie ndo "malaya"
 
Wanawake wa JF wote ni watakatifu.
Mwanamke anaweza kubadilika kutokana na mazingira aliyonayo, kama mzuri anaweza kuchange baada ya kuvumilia sana na kuwa vinginevyo. Ndo maana wanawake waliweza kuolewa na watu wasiowapenda na kujifunza kuwapenda na wakawapenda kweli. Wanawake ni watu wenye mioyo laini,wenye huruma na wenye kujipa matumaini.
 
hivi kuna mwanamke bikra siku hizi? na kama hakuna basi nyie ndo "malaya"
Kwani mama ako bikra?
Naye kundi Hilo hapo,labda kama alipata mimba kwa kunywa maji.
nioneshe mwanaume bikra sasa
 
Ambao ni wachache saaaana ukilinganisha na utitiri mkuuubwa wa wanawake unaohitaji huduma ya wanaume.
Huo ndio ule mlengo wa siasa za wanaume walioshindwa, unajipa moyo mko wengi ili uendelee na mambo yako machafu.
 
ha haaaa, halafu wanaume wa JF wote mashetani....... (sijui ushetani wanafanya na nani?) lol!
That's your conclusion, ila wanaume walio ktk jamii zetu wako mashetani na walio wazuri. Hapa tunaongelea wabaya kama we mmoja wao basi ujue tunakujadili wewe.
 
Kweli muwamba ngoma huvutia kwake,, hivi umeongea kwa upande 1 ukiwa unatafakari na kufikiria upande mwingine ama vipi?? hujui kuwa kuna wanawake huwa nao pia hawabadiliki na kheri ya wanaume??

ebu jaribu kutafakari kwanza
 
Ndo maana ni my findings kutokana na wale ninaowafahamu huku katika jamii.
Huo upande wa pili ndo utushirikishe. Mimi Nina kaka zangu nao siwatetei wako hivyo, Nimeona wanawake tusiendelee kuwa victims tu.
 
Hilo ni Tatizo la wasio maplayer, hawajui mwanamke anataka kuambiwa au kufanyiwa nini na ubaya ni kwamba hii taarifa muhimu wameijua maplayer.
Kwa hiyo ma-player waendelee kuwachezea mpaka pale wasio ma-player watakapojua ni nini mwanamke anataka kuambiwa na kufanyiwa???
 
Kwa hiyo ma-player waendelee kuwachezea mpaka pale wasio ma-playerwatakapojua ni nini mwanamke anataka kuambiwa na kufanyiwa???
Wasio maplayer wataishia kuoa watu waliochezewa na wanaume wenzao kibao. Cjui mwanaume anashindwa nini mpk wenzie wanaokunywa nae bar wamfanyie maamuzi eti awe na tabia flani naye akubali kwamba mwanamke aliyenaye hamtoshi. Wanajua unavovipata kwa huyo mwanamke? Ni utoto kisa wenzio wamesema bas nawe ujiingize ujaribu utaua Mabinti wa watu bila sababu na magonjwa. Fikiria huyo anayekushauri ndo anamfanyia hivyo dada yako na kale kadogo kako ka form two!!! Wake up, mwanamke anataka vitu simple tu, muoneshe unampenda sio kusema tu, onesha unajali ila usisite kusema akikosa hiyo ni sehem ya kuonesha ana umuhimu, zawadi ndogo ndogo humjulisha kwamba unamfikiria inaongeza upendo, usiwe mkali tu kisa bosi wako oficn kakuboa,uwe karibu hata kama huna uwezo wa kumtoa outing. Try to be romantic guys, women want simple things because to them they have a big meaning
 
Haya maisha ya kwenye movie ndio yanayowatesa, mnataka kuishi kama wafilipino kwenye tamthilia zenu zile...

Halafu nani kakwambia wanaume wanaongoza familia zao kwa kuuliza kwa wenzao?? Men have their own govements in their own heads..labda kama ni hao makaka zako uliowataja hapo juu...

Muda mwingi ukitukuta tumeuweka mahala tnajadili mambo manne
  • Mambo ya michongo ya pesa
  • mambo ya mpira na michezo
  • Mambo ya siasa na ulimwengu
  • Mambo ya nyumba ndogo na kusifia sifia(kuthaminisha) vitoto vilivyojaaliwa uzuri
 
mbona umekubali, hivyo vinyumba ndogo na vitoto mnavovisifia si ndo mnavifuatlia kwa sababu wenzio wamesifia halafu usibishe wanaume mnafuata mkumbo eti wakuone na wewe kidume. Mi namfahamu mzee mtu mzima, alimuacha mkewe na mtoto na kuoa binti aliyeambiwa ma wenzie ni mtoto wa askofu kumbe yule binti mujibu tu wenzie walikuwa wanamjaribu tu, Sasa mzee huyo anajuta maana alipo oa huyo nyumba ndogo wake ndipo alipojua kwamba Yule dada alikuwa kama changudoa na huwezi amini wazazi na ndugu wa Yule binti waligharamia harusi kumbe hawakutegemea binti ataolewa kwa tabia zake. Sasa ndoa hainogi tena, huyu mzee anajutia ujana wake na alivowasikiliza wenzie wa bar ambao wengine wameshakufa na magonjwa sasa. Wanaume mnataka kufanya vitu wenzenu wawakubali ndo maana mnafanyiwa maamuzi. Usiwakashifu kaka zangu, wao ni wanaume tu kama wewe.
 
Kwa hut utakatifu wa wanawake, inaelekea hizi cheatings tunafanya na mbuzi au kuku.

Wewe unayejijua una mwanamke unamfuata huyo mwingine wa nin? Na bahati utamaduni wetu watu weusi mwanamke hamtongozi mwanaume na wala mwanaume habakwi
 
Wewe kama unajijua una mwanamke wako unafanya nini na huyo mwingine,tena wengine mnathubutu kuact mko single kumbe una mke na watoto wanne kabisa

Kwanini tuact tuko single? Wanajua tuna wake na wengine wanawajua mpaka wake zetu lakini wanatupa gem kama kawaida. Tena kwa taarifa yako wanasema mme wa mtu mtamu sana
 
^^
Kuna ukweli hapa..sibishi
annito Smile
^^

haahaa hujabisha himidini...
ukweli upo, kila mwonja asali haishii mara moja..
km mtu hafai ktk uchumba sidhani km atabadalika akiwa huko hizo iman ni mfu..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom