Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,863
- 37,612
okay sijui, at least Nimeona na wahusika wamenisimulia yanayowakuta.
Naona ni vema tujifunze hasa nyakati hizi za wanawake kuforce ndoa na kugombea wanaume.
Like like like....
Ikifika muda wa kufanya haya maamuzi naogopa sana, nina hofu aisee