once a player, always a player

once a player, always a player

PesaNdogo

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2013
Posts
1,994
Reaction score
1,293
Habari zenu,
Katika kuchunguza maisha ya watu hasa wanaume nimegundua hawabadiliki. Kama mwanaume ana zaa zaa ovyo ataendelea hivyo, kama ni Malaya (player) ataendelea hivyo hivyo. Wanawake tunajipa moyo labda atatulia nk ila hapo ndo tunapokosea, they never change. Kama anakupiga hataacha kukupiga. Tusilazimishe ndoa na mwanaume yeyote mana majuto yatakuwepo. Kuna dada alimpata player akapata mimba na kufanya kila namna akaolewa na jamaa, sasa mwanaume anatembea na shosti zake, wadada wa kazi, wafanya kazi wenzie na watu wengine wasiojulikana na yeye anajua maana wengine walimpigia hata simu kwamba yeye yuko na huyo mwanaume kwasababu ya madawa yake tu! Ndoa imekuwa ngumu, mbaya zaidi alipoolewa alimtibua mama mkwe so na ndugu wa mwanaume wako mbali nae.
Shoga zake wote kagombana nao, kuanzia waliomwambia mumeo kanitongoza, waliotembea na mumewe na wale aliowahisi kwamba wanaweza kutembea nae.

Jamani wito wangu kwa wadada, ukigundua mwanaume wako ana tabia ya hovyo yoyote kimbia mapema usidhani atabadilika kwa ajili yako tena usijifunge nae katika ndoa maana atakutesa sana. Kama kawazalisha wenzio na kuwaacha atashindwaje kukufanyia wewe hivyo hivyo, kama anakutendea vibaya hata acha.
 
asante mdada.....tatizo mioyo yetu ni migumu sana kufanya maamuzi magumu....mpaka tuumizwe kwanza ndo uwa tunatia akili....
 
Wanawake alwayz wanapenda Players. Ndio maana huyo dada habanduki kwa huyo jamaa.
 
Habari zenu,

Katika kuchunguza maisha ya watu hasa wanaume nimegundua hawabadiliki. Kama mwanaume ana zaa zaa ovyo ataendelea hivyo, kama ni Malaya (player) ataendelea hivyo hivyo. Wanawake tunajipa moyo labda atatulia nk ila hapo ndo tunapokosea, they never change. Kama anakupiga hataacha kukupiga. Tusilazimishe ndoa na mwanaume yeyote mana majuto yatakuwepo. Kuna dada alimpata player akapata mimba na kufanya kila namna akaolewa na jamaa, sasa mwanaume anatembea na shosti zake, wadada wa kazi, wafanya kazi wenzie na watu wengine wasiojulikana na yeye anajua maana wengine walimpigia hata simu kwamba yeye yuko na huyo mwanaume kwasababu ya madawa yake tu! Ndoa imekuwa ngumu, mbaya zaidi alipoolewa alimtibua mama mkwe so na ndugu wa mwanaume wako mbali nae.

Shoga zake wote kagombana nao, kuanzia waliomwambia mumeo kanitongoza, waliotembea na mumewe na wale aliowahisi kwamba wanaweza kutembea nae.

Jamani wito wangu kwa wadada, ukigundua mwanaume wako ana tabia ya hovyo yoyote kimbia mapema usidhani atabadilika kwa ajili yako tena usijifunge nae katika ndoa maana atakutesa sana. Kama kawazalisha wenzio na kuwaacha atashindwaje kukufanyia wewe hivyo hivyo, kama anakutendea vibaya hata acha.
Kwa Mitabia kama hiyo ya kugombana na marafiki, ndugu, wakwe na majirani Hata kama mume una roho gani lazima ubadilike. Na hili linawasumbua sana wadada hasa wa mjini hapa Dar kutopenda kuishi na ndugu wa mume....uchoyo na mtima nyongo vinawatesa sana wanaume hasa ikizingatiwa wengi wa tunaokuja hapa mjini tunatafuta huku tukifikiria na wale tuliowaacha vijijini so we kuzuia ndugu zangu na kuwanyanyasa alhali uki-pretend kunipenda Mimi haiingii akilini. Kama humpendi mzazi wangu, mi unanipenda wa nini???
 
wewe hujui chochote kuhusu maisha ya ndoa. naona unaongelea theories tu hapa!!!!
 
Wanawake alwayz wanapenda Players. Ndio maana huyo dada habanduki kwa huyo jamaa.

Na bahati mbaya asilimia kubwa sana ya wanaume ni maplayers sasa sijui watakimbilia wapi.

Wanawake wakiujua huu ukweli wala hawataumiza vichwa kutufuatilia
 
Habari zenu,
Katika kuchunguza maisha ya watu hasa wanaume nimegundua hawabadiliki. Kama mwanaume ana zaa zaa ovyo ataendelea hivyo, kama ni Malaya (player) ataendelea hivyo hivyo. Wanawake tunajipa moyo labda atatulia nk ila hapo ndo tunapokosea, they never change. Kama anakupiga hataacha kukupiga. Tusilazimishe ndoa na mwanaume yeyote mana majuto yatakuwepo. Kuna dada alimpata player akapata mimba na kufanya kila namna akaolewa na jamaa, sasa mwanaume anatembea na shosti zake, wadada wa kazi, wafanya kazi wenzie na watu wengine wasiojulikana na yeye anajua maana wengine walimpigia hata simu kwamba yeye yuko na huyo mwanaume kwasababu ya madawa yake tu! Ndoa imekuwa ngumu, mbaya zaidi alipoolewa alimtibua mama mkwe so na ndugu wa mwanaume wako mbali nae.
Shoga zake wote kagombana nao, kuanzia waliomwambia mumeo kanitongoza, waliotembea na mumewe na wale aliowahisi kwamba wanaweza kutembea nae.

Jamani wito wangu kwa wadada, ukigundua mwanaume wako ana tabia ya hovyo yoyote kimbia mapema usidhani atabadilika kwa ajili yako tena usijifunge nae katika ndoa maana atakutesa sana. Kama kawazalisha wenzio na kuwaacha atashindwaje kukufanyia wewe hivyo hivyo, kama anakutendea vibaya hata acha.

^^
Kuna ukweli hapa..sibishi
annito Smile
^^
 
Last edited by a moderator:
Wanawake alwayz wanapenda Players. Ndio maana huyo dada habanduki kwa huyo jamaa.
Sawa, lengo ni kusema fanya at your own risk. Halafu huyo dada wamefunga ndoa kanisani na wana watoto hawezi kubanduka tena atamwachia nani watoto.
 
Na bahati mbaya asilimia kubwa sana ya wanaume ni maplayers sasa sijui watakimbilia wapi.

Wanawake wakiujua huu ukweli wala hawataumiza vichwa kutufuatilia
Kuna misemo mingi ya wanaume kujustify tabia zao, lkn kufeli kwa mwanaume mmoja haimaanisha wanaume wote wamefeli. Bado wapo wenye utu na wasiopumbazwa na siasa za kuburuzwa kwenye kundi.
 
Na Hao Maplayer Ndo Wanaoongoza Kwa Kushobokewa Na Wasichana Tena Leo Mnalalamika!Makubwaa..!!
 
Ambao ni wachache saaaana ukilinganisha na utitiri mkuuubwa wa wanawake unaohitaji huduma ya wanaume.
 
wewe hujui chochote kuhusu maisha ya ndoa. naona unaongelea theories tu hapa!!!!
okay sijui, at least Nimeona na wahusika wamenisimulia yanayowakuta.
Naona ni vema tujifunze hasa nyakati hizi za wanawake kuforce ndoa na kugombea wanaume.
 
Na Hao Maplayer Ndo Wanaoongoza Kwa Kushobokewa Na Wasichana Tena Leo Mnalalamika!Makubwaa..!!
 
Na Hao Maplayer Ndo Wanaoongoza Kwa Kushobokewa Na Wasichana Tena Leo Mnalalamika!Makubwaa..!!
Hilo ni Tatizo la wasio maplayer, hawajui mwanamke anataka kuambiwa au kufanyiwa nini na ubaya ni kwamba hii taarifa muhimu wameijua maplayer.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom