The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 10,959
- 13,426
Hii ni picha ya kaburi la ayatollah Ruhollah Khomeini lillilogharimu takriban dola bilioni mbili. Halafu wanakwambia kuwa hakuna shirk wala kuabudia sana au kufanya israfu au matumizi mabaya. Hii kama siyo israfu na shirk ni nini jamani?
Hicho ndicho kitovu cha jengo lote hilo. Waislam wakizikwa huwa hawaweki alama. Anayebisha, naomba anlwekee picha ya mfalme Fahd wa Saudia. Kama siyo unafiki huu ni nini jamanini?
Hebu angalia kaburi la mtume Mohamed