Ona maajabu ya maneno ya Hillary Clinton!

Wewe bhana mambo yao ya CCM yamekushinda unakimbilia ya wenzio, unataka uitwe International Mchonganishi
 
Uyo mama anachukua nchi na kuiweka rehani kua majivu yote kaa siku moja, yameandikwa na lazima yatimie
 
Reactions: MC7
pro russia bhana wanapenda kweli trump ashnde uraisi marekan.......
 
Ile laana ya kumuua Gadafi inazidi inazidi kumuandama Hillary Clinton, sasa habari kutoka jikoni kabisa zinasema kwamba hali ya Uchumi wa USA ni mbaya kuliko ambavyo maelite wamekuwa wakiitangazia Dunia, na kwamba kuna hatari kubwa ya kuingia recession kabla ya uchaguzi, USA!

Sasa kama hii ikitokea, yaani recession, uwezekano wa Hillary Clinton kushinda uchaguzi ni kwani kihistoria kama chati hapo chini inavyoonyesha Uchumi ndio jambo namba Moja ambalo raia wa USA huzingatia kwenye uchaguzi!

 
Matendo ya mumewake unamuadhubu yeye.....? Wewe bwana ongea vitu vinavyoeleweka anayegombea urais Ni HILLARY na sio BILL mumewake.....
Aliwezaje kuishi na mzinifu huku akijua na asijitoe kulinda hadhi yake (kudai talaka)

Ukitembea na mwizi.......
 
pro russia bhana wanapenda kweli trump ashnde uraisi marekan.......


Kwa nini Watanzania tuna hii tabia ya kupenda kuwalazimisha watu kuwa upande fulani? Ni kwa nini tunapenda kuwahukumu watu tusiowafahamu wala kuwajua?
Sasa hapa Putin anahusika vipi? Na kwa nini utake kumlazimisha mtu anayempenda Trump ampende Putini? Wewe ni nani mpaka uwachagulie watu?
 
Walishasema mengi na yanapita tu tangia aweze kusimama dakika 90 kwenye mdahalo watu wameanza kutoa mapovu meeeengi
 
mkuu mbn umereact as if nimekupoint ww?mi nazungumzia tu ni general nenda kasome comments za watu weng kwe pro-russia media utaona wao wanampenda nan kati ya hao candidates wawili............ukiingia RT utaona comments za watu wakimtusi clinton huku wakimsifia trump sasa kama ww unaona naloliongea liko vice versa you must have some problems to focus on
 
Kati Donald Trump na Hillaly Clinton, ambaye mwenye Sera hatari ya kuvuluga amani ya dunia ni yupi hapo....?
hawa wote watavuruga..ila clintoni atavuruga sana maana anapenda matumizi ya nguvu..amehusika na uvamizi wa iraq na libya,kwa trump hatujui coz hajawah kuwa kiongozi hvyo hatujui ila kama unavyomckia akitaka japan na south korea watengeneze nuclear zao wenyew
 
pro russia bhana wanapenda kweli trump ashnde uraisi marekan.......
Aser si Russia tuu hata hapa bongo tungesema tupige kura Trump anabeba asubuhi asubuhi
Unaambiwa had Korea Kaskazin ana pendwa
*mi naipenda Urusi na namkubali Trump pia
 
Uzinzi wa Bill sio kigezo cha kusema Hillary haifai kuwa rais
 
Aser si Russia tuu hata hapa bongo tungesema tupige kura Trump anabeba asubuhi asubuhi
Unaambiwa had Korea Kaskazin ana pendwa
*mi naipenda Urusi na namkubali Trump pia
heri wewe umeongea uhalisia mkuu maana kuna mkuu ameniandama utafikiri nlichokiongea hakipo aisee
 
Unamuhukumuje mke kwa makosa ya mme??? Kwani uchaguzi mwaka huu ni kati ya Bill na Trump??? Yeye ndo alimtuma Bill afanye huo ujinga??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…