Ona kiburi cha pesa Floyd Myweather

50 cent

Tyson

Kuna yule wa nba nimemsahau

Walikua na pesa na wala bata sana lakin wakafilisika,huyu jamaa ajiangalie sana
huna unalojua kuhusu 50 cent kaa kimya usilete story za vijiweni fatilia ndipo uandike
 
Ngozi nyeusi ndivyo ilivyo hadi kwenye ubongo, huwezi kukuta ngozi nyeupe inafanya ushamba kama huo.
Kupumzika ni ushamba? Kwa hiyo kufanya kazi siku zote za mwaka ndo ujanja? Hata hivyo, kama asingekuwa na hela ya kumpeleka huko, asingekwenda
 
Yani safi sana mimi kwa sasa natumia hasaa ka laki kangu natafuna sitaki ujinga. Kesho unaweza ziacha hivi hivi kwa kupigwa ngumi moja tuu umededi
 
Kwa Kweli Power Mpaka Mie Wa Chato Ninayo,na Nzuri Hapo Kwa Fifty Kufilisika Imekaaje?Hivi May Weather Hana Mtoto?

IMG_2733.JPG

Huyo hapo mtoto wake .
 
Ulimbukeni na ushamba wa mtu kama Myweather ni wa kiwango cha lami aiseee. huyu jamaa ni mshamba sijapata ona. Nikionaga mijitu kama Myweather ndo huwa nathamini zaidi akili na utashi ambao Mungu ameniumbia. Asante eeh Mola wangu. Jitu jinga boya, lipo kwenye 1st world but lina behave utadhani lipo Tandale kwa msuguri, ni lini huyu jamaa na wapuuzi wengine wataacha kuwa na uono hafifu?? Big up kwa Jigga,Nas,Tony Elumelu, na Other notable black & non black people wenye pesa na uono wa mbali, sio hii mi mburula, nadhani ngumi wanazopigwa usoni huwa zinatoa akili pumbafu sana
 
Back
Top Bottom