Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa tuungane pamoja Kumuelewa huyu Daktari Bingwa Dk. Edward Machage kwani huenda tukafaidika nae

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,109
"Watu wote wanaofanya Mazoezi ya Kukimbia barabarani au wakiwa Gym au Kwingineko huku wakiwa wameshika Simu zao, wanapiga Picha na Kusikiliza Mziki wana Shida Kubwa ya Akili na waache mara moja" amesema na Kushauri Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Watoto na Saikolojia Edward Machage leo Asubuhi akiwa Mubashara ( Live ) katika Kipindi Kizuri cha Afya Point kinachorushwa na 107.3Mhz Uhai FM ( ya Azam Media )

Kwa Kauli hii Kuntu ya huyu Dokta Bingwa sasa ni wazi kuwa kumbe GENTAMYCINE ninavyokuwa nawaona na nakutana na Watu maarufu na muhimu Tanzania wakiwa wanafanya Mazoezi yao mbalimbali huku wakiwa Wameshika Simu zao Mkononi huku Wakijipiga Picha ili Kuturingishia na Kututambia Mitandaoni Kwao huwa wanakuwa na Tatizo Kubwa la Akili ( Wamedata Kimtindo ) sema tu huwa wanakuwa hawajijui hivyo ni Imani kuanzia leo na kwa Kuusoma huu Uzi wangu hapa Watabadilika na wasiwe Washamba ( Wagaigai ) tena.

Kila la Kheri Simba na Yanga Ugenini.
 
Charismatic fella uko sahihi kabisa. Mazoezi yalivyo magumu inakuwa ngumu sana kufikiria simu. Yale ya kukimbia barabarani ndo huwa ngumu zaidi kufikiria simu. Angalau pale Gym unaweza ukapiga picha baada ya kumaliza mazoezi.
 
Back
Top Bottom