Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,647
ngoja nikamwulize babu nakuja sasa hivi..
Tehe tihi tehe!!! Kasemaje babu ako?
ngoja nikamwulize babu nakuja sasa hivi..
Aisee kwa hiyo hii ni kam experiment vile............. na unafanya update with time.......... u know pple can make money outKwanini limbwata la mwanaume caring,loving,crying together linatosha na la mwanamke caring,loving,crying together halitoshi? hadi aweke limbwata huyo mwanaume??
Ndio vina expiring date,na siku vikimalizka muda ni balaaaaaaaaaaaaa,akizinduka ni mtihani,labda kama mwanamke anajua lini ina expire then ana update....................LOL
hahah Michelle sina low self esteem............. mtu wa namna hiyo hatoogopa kukuwekea sumu mambo yakibadilika........Hao ni wanaume kabisa GFM,wako kama Denzel Washngton! ukitaka dawa zinapopatikana uliza manake naona unahitaji sema unajidai hutaki........LOL,muone na meno yako!
Na hiyo nayo ni shida pia hahah ...............Orait...........what if mie nakupenda wewe na tumeanza mahusiano ya kimapenzi (meaning kuwa kuna some chemistry) then nikajikuta nakupenda zaidi na nisingependa kukupoteza no matter what- yaani wewe kuwa nami mie naridhika whether unanipenda zaidi au la............ nikuwekee limbwata (lisilodhuru - kama lipo) yaani wengine wote usiwaone dunia yako iwe mimi tu........ sitajali kama unanipenda kweli au la but uko pale, ninawe, u wangu peke yangu.......???
Think from the one anayelitengeneza si yule anayepewa!!
yote ni sehemu ya kutojiamini,kama mwanamke yuko strong na anajiamini anaweza kumkatalia jamaa wake tigo na maamuzi yake yaka heshimimiwa.
tehe tihi tehe!!! Kasemaje babu ako?
Mie kwa mtizamo wangu huwa wana-enjoy!Yes nakubali kuwa ni sehemu ya kutojiamini........swali langu ni kwa nini some seem to tolerate tigo than limbwata
kasema eti ni mchanganyiko wa kucha,nywele,jasho,mkaa ili ipate rangi,jasho la kwapa,unyayo,ushuzi na ile uchafu wa ma..ko..n.
Vingine nimesahau ah,mi kishoka kweli.
hahah Michelle sina low self esteem............. mtu wa namna hiyo hatoogopa kukuwekea sumu mambo yakibadilika........
so muogope kama ukoma
yes nakubali kuwa ni sehemu ya kutojiamini........swali langu ni kwa nini some seem to tolerate tigo than limbwata
wakati wewe unaona unanipenda zaidi na una wasi wasi kwamba mapenzi yangu kwako hayajafikia kiwango unachokitaka japokuwa umeridhika na kiwango hicho lakini kinakufanya uwe na uoga wa kunipoteza.Orait...........what if mie nakupenda wewe na tumeanza mahusiano ya kimapenzi (meaning kuwa kuna some chemistry) then nikajikuta nakupenda zaidi na nisingependa kukupoteza no matter what- yaani wewe kuwa nami mie naridhika whether unanipenda zaidi au la............ nikuwekee limbwata (lisilodhuru - kama lipo) yaani wengine wote usiwaone dunia yako iwe mimi tu........ sitajali kama unanipenda kweli au la but uko pale, ninawe, u wangu peke yangu.......???
Think from the one anayelitengeneza si yule anayepewa!!
I like that last part.......tatizo la wanawake wengi wazuri, wanataka macheki bobu na matokeo yake ndioTatizo la wanaume wengi wanazingua nasisi tunatafuta solution cheap za faster??kusema ukweli hakuna kitu kibaya kama low-self esteem.Ila ukiangalia wanawake wengi hii low self esteem inatokana na previous experience either ya bad relationship,unmet expectations za mwanaume aliyempenda,so hataki akupoteze wewe kwa gharama yeyote...........women do this kwa nia njema issue tu ni kwamba si suluhisho na madhara ni makubwa kuliko tatizo lenyewe.
wakati wewe unaona unanipenda zaidi na una wasi wasi kwamba mapenzi yangu kwako hayajafikia kiwango unachokitaka japokuwa umeridhika na kiwango hicho lakini kinakufanya uwe na uoga wa kunipoteza.
Kwanini usijaribu njia za kawaida zitazokukusadia kuwa karibu na mimi kwa mda mwingi zaidi hili huweze kulikoleza penzi letu? ukiwa karibu na mimi zaidi na kuongeza mawasiliano utaweza kungundua zaidi njia ya kuzidisha penzi letu zahidi ya short cut ya limbwata.mimi binafasi napenda mawasiliano ndani ya mapenzi,tuwe huru kwenye kurekebishana pale unapoona nimekosea hii ni njia moja wapo nzuri na utaweza kujua nini napenda na wewe unapenda nini kama unahisi umemaliza ufundi wote wa kawaida.
Tatizo la limbwata wengi wanakuwa zezeta na ni kwa mda mfupi tu kabla ujagunduliwa kwani tabia za mtu ubadirika ghafla mpaka watu wa nje watagundua kuna tatizo hapa.mapenzi yana challenge zake za kawaida sio kila saa yatakuwa yanaenda unavyotaka wewe.
But dia bro.....they say love ni kama dege la jeshi.....halichagui pa kutua.....mie nimempata checkbob wangu na nimempenda kweli ......am ready to do anything in the name of loe.......anythingI like that last part.......tatizo la wanawake wengi wazuri, wanataka macheki bobu na matokeo yake ndio
hayo ya unmet expectations............ mfano mzuri Whitney....... and the list is long
i like that last part.......tatizo la wanawake wengi wazuri, wanataka macheki bobu na matokeo yake ndio
hayo ya unmet expectations............ Mfano mzuri whitney....... And the list is long
they tolerate tigo kwa sabbu wanainjoi,ila limbwata inakuwa ishu maana kwanza unakuwa un aware kuwa umewekewa na hata ukijua unafadhaika maana hujui wala umelishwa nn,unabaki kuimajini tu.
Good for you dada! kwa wengi ni kilio........... stay away from limbwata .........u will be fine!But dia bro.....they say love ni kama dege la jeshi.....halichagui pa kutua.....mie nimempata checkbob wangu na nimempenda kweli ......am ready to do anything in the name of loe.......anything
Yes nakubali kuwa ni sehemu ya kutojiamini........swali langu ni kwa nini some seem to tolerate tigo than limbwata
Kweli kabisa nakubaliana na wewe.......... hapo kwenye nyekundu.....tukipata uwezo wa kumodify hapo ili lisidhuru..mtaliafiki kama njia mojawapo ya kuboresha mahusiano??