On Second Thought

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,562
Wapenzi wa JF...............Happy New Year kwenu wote

Was just thinking about Limbwata............ Kina kaka/dada on the second thought..hv mwanamke/mwanaume wako akikuwekea Limbwata kuna ubaya gani??........... kwa sababu si huwa hiyo inafanya kwa kuwa anakupenda sana? Yaani Mumeo/Mkeo/Mpenzi akikulimbwata lengo lake si ni kuwa na wewe milele.....and that means anakupenda sana (Why asimwekee Juma/Halima, George/Rose au mwingine??)

Kuwekewa Limbwata kwa nini kusichukuliwe kama vile vingine ambavyo mnaviaprove mkifanyiwa mf. Mwanadada/Kaka anapokuwa mbunifu ili tu akuwini uvutiwe naye kila siku na kubaki nae??.....

On the second thought.

Hapa nazungumzia kwa wale wenye mapenzi huru (i.e. mume/mke halali, mpenzi ambaye unatarajia kuoa/olewa).
 
Kweli bwana, manake nia ya ndani ya huyu mama/dada ni kudumisha uhusiano,
LONG LASTING RELationship.......

Kwa nini LImbwata iwe mbaya???
 
hiyo ni mbaya sana MJ1, mtu inatakiwa mpendane toka moyoni sio mambo ya limbwata. Tatizo mkishatuwekea limbwata tunakuwa kama zoba na hapo mnapata uhuru wa kufanya chochote unachotaka hata kama ni ku-cheat mumeo ataona poa tu. Kama unajiamini huna haja ya libwata.
 
Penzi halina dawa! Na hiyo limbwata ni kitu gani hasa? Ni kitu kinachoweza kuonekana na kushikika ama ni kitu kinachowazika na kuelea kichwani mwa mtu tu?
 
Mjukuu shida ya limbwata ni kua utafanyiwa vituko hata kuletewa njemba ndani na hufanyi kitu.. Lol
 
Okay aksante Jaluo-nyeupe
So limbwata baya ni lile linalofanya uwe zoba?? Je hakuna yale yanayofanya mwanaume/mke asipende mwingine zaidi yako??

Duh kama wangekuwa wanatumia pasipo kuharibu...yaani kukufanya uwe zoba na wao kufanya lolote......................umpende tu, ungekubali??

Nakubali mapenzi yatoke moyoni but it is the same love toka moyoni lililoniofanya nikulimbwate ili nisiibiwe au kukupoteza loh
Just on the second thought
 
kama mlipendana bila limbwata,,,bado upendo unaweza kuwepo bila huo ushirikina.Love should be genuine with no any other artificial addition
 
Wapenzi wa JF...............Happy New Year kwenu wote

Was just thinking about Limbwata............ Kina kaka/dada on the second thought..hv mwanamke/mwanaume wako akikuwekea Limbwata kuna ubaya gani??........... kwa sababu si huwa hiyo inafanya kwa kuwa anakupenda sana? Yaani Mumeo/Mkeo/Mpenzi akikulimbwata lengo lake si ni kuwa na wewe milele.....and that means anakupenda sana (Why asimwekee Juma/Halima, George/Rose au mwingine??)

Kuwekewa Limbwata kwa nini kusichukuliwe kama vile vingine ambavyo mnaviaprove mkifanyiwa mf. Mwanadada/Kaka anapokuwa mbunifu ili tu akuwini uvutiwe naye kila siku na kubaki nae??.....

On the second thought.

Hapa nazungumzia kwa wale wenye mapenzi huru (i.e. mume/mke halali, mpenzi ambaye unatarajia kuoa/olewa).
Haya mtoto wa kidigo, umekumbuka nyumbani?? hahah LOL
Happy new year!!
 
Limbwata sio zuri maana akili inakuwa ni ya kushikiwa.
Wanaofanya hivyo ni wale wasiojiamini kuwa wanapendwa.
Halafu nasikia lina expire date. Kwahiyo pata picha likishaexp itakuwaje.
 
Mjukuu shida ya limbwata ni kua utafanyiwa vituko hata kuletewa njemba ndani na hufanyi kitu.. Lol

Sawa Babu ........mi sikuwa najua kuwa huwa linatumika kihivyo but kama lingekuwa halitumiki kihovyo....unawekewa ili tu umpende bibi yangu usimwone mwanamke mwingine....lingekuwa zuri??
 
Mie nadhani kumlimbwata mwenzio mara nyingi humpumbaza na matokeo yake wewe (mke) anaishia kum-control mme wakati na mara nyingi kumfanyia vitu ambavyo akiwa na akili timamu hatathubutu
kumfanyia. Kwa mtazamo wangu ni kama kumpatia mwenzio "dawa za kulevya" ...............labda
unipatie definition yako wewe ya kulimbwata..
 
Limbwata sio zuri maana akili inakuwa ni ya kushikiwa.
Wanaofanya hivyo ni wale wasiojiamini kuwa wanapendwa.
Halafu nasikia lina expire date. Kwahiyo pata picha likishaexp itakuwaje.

Husninyo..... nakubaliana na wewe kabisa, najaribu tu kuwaza beyond

Akili za kushikiwa maana yake ni nini- Hivi hakuna limbwata ya kumfanya mtu akupende tu........yaani wengine woote awaone si kitu??

Wasiojiamini........hiyo nayo inataka definition yake maana kwa hali ya infidelity na nyumba ndogoz zinavyopamba moto sijui kama kuna wanaojiamini kihiiivyo siku hizi
 
Penzi halina dawa! Na hiyo limbwata ni kitu gani hasa? Ni kitu kinachoweza kuonekana na kushikika ama ni kitu kinachowazika na kuelea kichwani mwa mtu tu?

Miye pia naamini kama wewe kwamba hakuna dawa ya mapenzi. Ni namna tu mtu anavyomjali mwenzie katika kila hali na jinsi anavyoongea naye kwa mapenzi ya hali ya juu na vikorombwezo vingine ambavyo vinamfanya mtu ampende mwenzie kupita kiasi, lakini hili la kutumia dawa ili mwenzio akupende sana kamwe siliamini kama lipo.

Mie nadhani kumlimbwata mwenzio mara nyingi humpumbaza na matokeo yake wewe (mke) anaishia kum-control mme
wakati na mara nyingi kumfanyia vitu ambavyo akiwa na akili timamu hatathubutu kumfanyia. Kwa mtazamo wangu ni kama
kumpatia mwenzio "dawa za kulevya" ...............labda unipatie definition yako wewe ya kulimbwata..

GFM.............. why Limbwata linapumbaza.................. ina maana kuna uhusiano kati ya Limbwata na kuharibu akili ya mtu? Hakuna Limbwata ambalo lengo ni kumfanya muhusika asipende kwingine?

Kwangu mie limbwata naidefine kama dawa ya kumfanya mpenzio akupende wewe tu asione wengine and ukijiuliza sana kwa nini unamwekea limbwata jibu ni kuwa unampenda (achilia mbali wale walio kwa ajili ya kuchuna/faidika) au??
 
Miye pia naamini kama wewe kwamba hakuna dawa ya mapenzi. Ni namna tu mtu anavyomjali mwenzie katika kila hali na jinsi anavyoongea naye kwa mapenzi ya hali ya juu na vikorombwezo vingine ambavyo vinamfanya mtu ampende mwenzie kupita kiasi, lakini hili la kutumia dawa ili mwenzio akupende sana kamwe siliamini kama lipo.

BAK ni kweli mapenzi hayana dawa but on second thought.................... why dont you think this way...macare na malavidavi upewayo ni limbwata la aina yake?.........lol why utizame limbwata lenyewe na usizingatie nia na madhumuni ya yeye kukulimbwata?
 
GFM.............. why Limbwata linapumbaza.................. ina maana kuna uhusiano kati ya Limbwata na kuharibu akili ya mtu? Hakuna Limbwata ambalo lengo ni kumfanya muhusika asipende kwingine?

Kwangu mie limbwata naidefine kama dawa ya kumfanya mpenzio akupende wewe tu asione wengine and ukijiuliza sana kwa nini unamwekea limbwata jibu ni kuwa unampenda (achilia mbali wale walio kwa ajili ya kuchuna/faidika) au??
Mie sio wa huko so kama umenidanganya hapo kwenye definition shauzi zako hahah on a serious note, kama tulishapenda, kwanini unakosa confidence? na je kwa nini na wewe usinywe/le hilo limbwata ili wote tupendane maana kwa mtazo wangu hapa (poor me) ni kwambi mie ndio nikupenda wewe tuuu hata ukifanya nini .........kwani tusile wote ili tupendane sisi tu............mie naona imekaa kiujasiria mali zaidi:eyeroll1:
 
kama mlipendana bila limbwata,,,bado upendo unaweza kuwepo bila huo ushirikina.Love should be genuine with no any other artificial addition

Wiselady......yes darling I totally agree with you and I do have the same feelings about it but.........was just trying to reason beyond that limbwata.

Nawaza tu kama mtu kaamua kukuwekea Limbwata (bila uchakjachuzi wa aina yoyote) si ni kuwa anakupenda na asingependa kuibiwa?? Kuna tofauti gani kati ya dhumuni la limbwata na labda mpenzi ambaye anajitahidi kukuchunga physically?? Si naye anafanya hayo kwa kuwa anakupenda??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom