On Second Thought

Kwanini limbwata la mwanaume caring,loving,crying together linatosha na la mwanamke caring,loving,crying together halitoshi? hadi aweke limbwata huyo mwanaume??
Ndio vina expiring date,na siku vikimalizka muda ni balaaaaaaaaaaaaa,akizinduka ni mtihani,labda kama mwanamke anajua lini ina expire then ana update....................LOL
Aisee kwa hiyo hii ni kam experiment vile............. na unafanya update with time.......... u know pple can make money out
this (kama ni kweli).Lakini I bet it only works in Africa/Bongo maana ingekuwa a million dollar biz ...........hahah
 
Hao ni wanaume kabisa GFM,wako kama Denzel Washngton! ukitaka dawa zinapopatikana uliza manake naona unahitaji sema unajidai hutaki........LOL,muone na meno yako!
hahah Michelle sina low self esteem............. mtu wa namna hiyo hatoogopa kukuwekea sumu mambo yakibadilika........
so muogope kama ukoma
 
Orait...........what if mie nakupenda wewe na tumeanza mahusiano ya kimapenzi (meaning kuwa kuna some chemistry) then nikajikuta nakupenda zaidi na nisingependa kukupoteza no matter what- yaani wewe kuwa nami mie naridhika whether unanipenda zaidi au la............ nikuwekee limbwata (lisilodhuru - kama lipo) yaani wengine wote usiwaone dunia yako iwe mimi tu........ sitajali kama unanipenda kweli au la but uko pale, ninawe, u wangu peke yangu.......???

Think from the one anayelitengeneza si yule anayepewa!!
Na hiyo nayo ni shida pia hahah ...............
 
yote ni sehemu ya kutojiamini,kama mwanamke yuko strong na anajiamini anaweza kumkatalia jamaa wake tigo na maamuzi yake yaka heshimimiwa.

Yes nakubali kuwa ni sehemu ya kutojiamini........swali langu ni kwa nini some seem to tolerate tigo than limbwata
 
hahah Michelle sina low self esteem............. mtu wa namna hiyo hatoogopa kukuwekea sumu mambo yakibadilika........
so muogope kama ukoma

Tatizo la wanaume wengi wanazingua nasisi tunatafuta solution cheap za faster??kusema ukweli hakuna kitu kibaya kama low-self esteem.Ila ukiangalia wanawake wengi hii low self esteem inatokana na previous experience either ya bad relationship,unmet expectations za mwanaume aliyempenda,so hataki akupoteze wewe kwa gharama yeyote...........women do this kwa nia njema issue tu ni kwamba si suluhisho na madhara ni makubwa kuliko tatizo lenyewe.
 
yes nakubali kuwa ni sehemu ya kutojiamini........swali langu ni kwa nini some seem to tolerate tigo than limbwata

they tolerate tigo kwa sabbu wanainjoi,ila limbwata inakuwa ishu maana kwanza unakuwa un aware kuwa umewekewa na hata ukijua unafadhaika maana hujui wala umelishwa nn,unabaki kuimajini tu.
 
Huo ni wasiwasi wa mapenzi kwanini umwekee mwenzio dawa?

mlipotafutana hapakuwa na dawa yoyote sasa iweje uanze ushirikina?

Tatizo siku hizi wanawake hawafundwi km zamani jinsi ya kumstarehesha bwana akatulia bila hata dawa.

Jambo la kwanza lazima ujue mavituzi ili hata mumeo akiwa kazini akikuwaza tu "shaft inanyanyuka".
 
Orait...........what if mie nakupenda wewe na tumeanza mahusiano ya kimapenzi (meaning kuwa kuna some chemistry) then nikajikuta nakupenda zaidi na nisingependa kukupoteza no matter what- yaani wewe kuwa nami mie naridhika whether unanipenda zaidi au la............ nikuwekee limbwata (lisilodhuru - kama lipo) yaani wengine wote usiwaone dunia yako iwe mimi tu........ sitajali kama unanipenda kweli au la but uko pale, ninawe, u wangu peke yangu.......???

Think from the one anayelitengeneza si yule anayepewa!!
wakati wewe unaona unanipenda zaidi na una wasi wasi kwamba mapenzi yangu kwako hayajafikia kiwango unachokitaka japokuwa umeridhika na kiwango hicho lakini kinakufanya uwe na uoga wa kunipoteza.

Kwanini usijaribu njia za kawaida zitazokukusadia kuwa karibu na mimi kwa mda mwingi zaidi hili huweze kulikoleza penzi letu? ukiwa karibu na mimi zaidi na kuongeza mawasiliano utaweza kungundua zaidi njia ya kuzidisha penzi letu zahidi ya short cut ya limbwata.mimi binafasi napenda mawasiliano ndani ya mapenzi,tuwe huru kwenye kurekebishana pale unapoona nimekosea hii ni njia moja wapo nzuri na utaweza kujua nini napenda na wewe unapenda nini kama unahisi umemaliza ufundi wote wa kawaida.

Tatizo la limbwata wengi wanakuwa zezeta na ni kwa mda mfupi tu kabla ujagunduliwa kwani tabia za mtu ubadirika ghafla mpaka watu wa nje watagundua kuna tatizo hapa.mapenzi yana challenge zake za kawaida sio kila saa yatakuwa yanaenda unavyotaka wewe.
 
Tatizo la wanaume wengi wanazingua nasisi tunatafuta solution cheap za faster??kusema ukweli hakuna kitu kibaya kama low-self esteem.Ila ukiangalia wanawake wengi hii low self esteem inatokana na previous experience either ya bad relationship,unmet expectations za mwanaume aliyempenda,so hataki akupoteze wewe kwa gharama yeyote...........women do this kwa nia njema issue tu ni kwamba si suluhisho na madhara ni makubwa kuliko tatizo lenyewe.
I like that last part.......tatizo la wanawake wengi wazuri, wanataka macheki bobu na matokeo yake ndio
hayo ya unmet expectations............ mfano mzuri Whitney....... and the list is long
 
wakati wewe unaona unanipenda zaidi na una wasi wasi kwamba mapenzi yangu kwako hayajafikia kiwango unachokitaka japokuwa umeridhika na kiwango hicho lakini kinakufanya uwe na uoga wa kunipoteza.

Kwanini usijaribu njia za kawaida zitazokukusadia kuwa karibu na mimi kwa mda mwingi zaidi hili huweze kulikoleza penzi letu? ukiwa karibu na mimi zaidi na kuongeza mawasiliano utaweza kungundua zaidi njia ya kuzidisha penzi letu zahidi ya short cut ya limbwata.mimi binafasi napenda mawasiliano ndani ya mapenzi,tuwe huru kwenye kurekebishana pale unapoona nimekosea hii ni njia moja wapo nzuri na utaweza kujua nini napenda na wewe unapenda nini kama unahisi umemaliza ufundi wote wa kawaida.

Tatizo la limbwata wengi wanakuwa zezeta na ni kwa mda mfupi tu kabla ujagunduliwa kwani tabia za mtu ubadirika ghafla mpaka watu wa nje watagundua kuna tatizo hapa.mapenzi yana challenge zake za kawaida sio kila saa yatakuwa yanaenda unavyotaka wewe.

Kweli kabisa nakubaliana na wewe.......... hapo kwenye nyekundu.....tukipata uwezo wa kumodify hapo ili lisidhuru..mtaliafiki kama njia mojawapo ya kuboresha mahusiano??
 
I like that last part.......tatizo la wanawake wengi wazuri, wanataka macheki bobu na matokeo yake ndio
hayo ya unmet expectations............ mfano mzuri Whitney....... and the list is long
But dia bro.....they say love ni kama dege la jeshi.....halichagui pa kutua.....mie nimempata checkbob wangu na nimempenda kweli ......am ready to do anything in the name of loe.......anything
 
i like that last part.......tatizo la wanawake wengi wazuri, wanataka macheki bobu na matokeo yake ndio
hayo ya unmet expectations............ Mfano mzuri whitney....... And the list is long

mfano mwingine mimi pia..lol
 
they tolerate tigo kwa sabbu wanainjoi,ila limbwata inakuwa ishu maana kwanza unakuwa un aware kuwa umewekewa na hata ukijua unafadhaika maana hujui wala umelishwa nn,unabaki kuimajini tu.

Orait.......what if we make that limbwata kwenye form ambayo wataenjoy.......

(Nimecheka sana kabla ya kuandika hii sentence)
(Najaribu kufikiria lingekuwa halina madhara afu linawekwa kupitia mlango wa Tigo............. sijui wangapi wangeliomba wenyewe tena kwa kulilia!!)
 
But dia bro.....they say love ni kama dege la jeshi.....halichagui pa kutua.....mie nimempata checkbob wangu na nimempenda kweli ......am ready to do anything in the name of loe.......anything
Good for you dada! kwa wengi ni kilio........... stay away from limbwata .........u will be fine!
 
Yes nakubali kuwa ni sehemu ya kutojiamini........swali langu ni kwa nini some seem to tolerate tigo than limbwata

Nilikujibu kwamba tatizo wengi wetu tunachukulia weakness zenu lakini kama mwanamke utakuwa strong na kujiamini unaweza kukataa kutoa tigo na mpenzi wako aka heshimu maamuzi yako.Lakini kwa vile wengi wenu hamjiamini unahisi kwamba ukinyima kutoa tigo mpenzi wako ataenda kwa mwanamke mwingine kuomba tigo.Mapenzi sio kutoa tigo tu na kama mtu anakupenda ataheshimu maamuzi yako.

Kuna wanawake wengine wanapenda kutoa tigo kama njia ya kumvutia mwanamme lakini ukweli ni kwamba unapoteza heshima yako.Wengi wetu tumesahau madhara ya tigo na tatizo kubwa tunapenda kufuata mkumbo.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom