On Mbowe: Man, Family Life and Politics

Status
Not open for further replies.
Probabilitiy ya Dr. Slaa kushinda ubunge katika jimbo lake ni 95%. Na probability ya Dr. Slaa kushinda urais wa Tanzania 5%. Probability ya Zitto Kabwe kushinda uchaguzi wa ubunge ni 98% na probability ya kushinda urais ni 10%. Hivyo basi kwa maendeleo yalivyo sasa, Kabwe na Slaa wanategemewa kugombea tena nafasi zao za ubunge. Na kama Zitto na Slaa watagombea ubunge, basi wanasiasa wenye ngazi kubwa ndani ya CHADEMA akiwemo ndugu Mbowe watategemewa kugombea nafasi hiyo. Hivyo kum-project ndugu Mbowe kama rais mtarajiwa sio makosa, na kama ni makosa je matarajio gani watu wategemee kutoka kwake?

Zakumi, umeongea mambo mazuri "kiujumla" ila hizi probability zako zinahitaji uhakiki. Je unafahamu kuwa mwaka 2005 Zitto hakupata hata asilimia 52 ya kura? Sasa hizo alimia 98 zinatoka wapi? The fact kwamba Zitto mwenyewe ametangaza kutokugombea tena ubunge wakati hakuna mission yoyote aliyoiaccomplish kwa kupitia ubunge wake zaidi ya kuandikwa na magazeti inadhihirisha kuwa anatambua ugumu wa kunyakua tena jimbo hilo, ambalo ukweli ni kwamba ana nafasi kubwa ya kulishinda tena ila sio kwa asilimia ulizozitaja hapo juu.
 
By the time Chadema watakapo zinduka kuwa Mbowe ni time-bomb it will be too late. Huyu jamaa yupo yupo tu pale kwa influence za baba mkwe he has no idea on wot is going on kwenye circles za siasa za Bongo, ndio maana haya mambo ya EPA, OIC nk inabidi agune gune pale mzee auchune tu
 
Mrema na Seif Sharif wamekuwa na visibility kubwa imewafikisha wapi? Kuna kitu kinaitwa oversaturation.Overexposure.

Jasusi:

Kama umesoma mfano wangu wa kwanza kuhusu Salimu Ahmed Salimu naona ungepata jibu. Visibility ya kukufanya uchaguliwe inakwenda na wakati. Mrema alikuwa na visibility yake na 1995 alifanya vizuri sana. Lakini baada ya 1995, position alizochukua, decision alizofanya na political climate zilizofuatia imemuondoa kuwa serious contender.

Unapogombea ubunge Jimbo la Igunda hakuna sababu yoyote ya kuwafurahisha au kuwa na visibility na wapiga kura wa jimbo la Mafia. Seif Sharif ana visibility kwa wapiga kura wa urais wa SMZ. Kwa mtaji huo hana sababu zozote za kimsingi za kukufanya mpiga kura wa Tanzania bara kuwa Happy. Na vilevile tusingekuwa na mazungumzo ya mwafaka kati ya CCM na CUF bila kuwepo kwa stiff competition. Percentage wise, Seif Sharif yupo karibu na constituents yake lakini Mbowe isn't.
 
Zakumi, umeongea mambo mazuri "kiujumla" ila hizi probability zako zinahitaji uhakiki. Je unafahamu kuwa mwaka 2005 Zitto hakupata hata asilimia 52 ya kura? Sasa hizo alimia 98 zinatoka wapi? The fact kwamba Zitto mwenyewe ametangaza kutokugombea tena ubunge wakati hakuna mission yoyote aliyoiaccomplish kwa kupitia ubunge wake zaidi ya kuandikwa na magazeti inadhihirisha kuwa anatambua ugumu wa kunyakua tena jimbo hilo, ambalo ukweli ni kwamba ana nafasi kubwa ya kulishinda tena ila sio kwa asilimia ulizozitaja hapo juu.

ZeMarcopolo:

Samahani kwa kuzipika data. Pamoja na hayo mapenzi ya siasa ni dynamic na sio static behavioral system.

Kwa miaka mitatu toka 2005, CV ya Zitto imepanda. Hivyo 98% haitokani na jinsi gani walimpigia kura 2005, inatokana na maendeleo ya siasa kwa sasa.
 
Mbowe Mbowe Mbowe,
CHADEMA CHADEMA CHADEMA

Talk about Mbowe,
Talk about Zitto,
Talk about Dr. Slaa
Talk about Mnyika
Talk about CHADEMA.

There are people who can't sleep without talking about others.

Only this reminds me of three types of MINDS

SIMPLE mind discuss PEOPLE
ORDINARY mind discuss EVENT
SUPER mind discuss IDEA.

Hey jammers!!!!!!!
Check your position''''''''

Tchao!!
 
Obama ni Rais in waiting. Kumuita Mbowe,ambaye Chama chake kina wabunge 6 tu bungeni,Rais in waiting,this is a joke.
Kuhusu nani anafaa kuiongoza Chadema,kati ya Zitto na Mbowe,hilo ni jambo ambalo Chadema wenyewe wanapaswa kuamua,na wanazo chaguzi kuamua mambo hayo,sasa wewe,Majita sijui unasumbuliwa na nini. Kwa sababu wao hawajasema kama wana matatizo yoyote.
Kuhusu kuwafukuza wanafunzi na kuwapeleka kwa wazazi wao,that is a joke. Katika Siasa ya Ujamaa,by definition,watoto hawana mzazi yeyote zaidi ya Serikali. Na Socialism ndiyo siasa ya Tanzania,hata kama yamekuwepo marekebisho machache.
Serkali imeonyesha lack of leadership,swali linalopaswa kuulizwa sasa ni moja tu,nani anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2010.
CCM wanasema kwamba watamrudisha Jakya Kikwete. Huyu ni Rais ambaye ameingia madarakani wakati watu walikuwa na matumaini makubwa sana. Not unlike Barak Obama. Watu walifurahi sana,hasa vijana,kuona mtu mwenye akili nzuri,na sura nzuri anachaguliwa kuwa Rais,hili jambo liliwafurahisha sana vijana.
Tatizo ni lack of leadership.Senator wa Marekani akitoa e-mail ili watu wa Jimbo lake waweze kuwasiliana naye,anaajiri watu kumi,all of them graduates,kazi yao ni kuzijibu tu zile e-mail. Lakini kiongozi wa Tanzania,ni mambo yale tu anayoweza kufanya kwa kuhangaika na mobile phone yake,ndiyo yanafanyika.
Kama kuwezi kujibu correspondence za raia,how can you govern? Kama correspondence zinakuja like a barrage of missile attacks,lazima zijibiwe.
Au zikiandikwa complaints katika gazeti,hizi letters to the Editor,nani anazifuatilia? Ukiwa out of touch with the people,lazima itatokea migomo,au maandamano.
In the West,viongozi wanfanya kazi kwa kuwatumia speech writers. Yaani kiongozi anaeleza outline ya jambo analotaka kusema,halafu speech writers wanamsaidia kuifanya ile kazi. Hapa Tanzania hali siyo hivyo. Kiogozi hataki kusaidiwa. Ni kama vile timu ya mpira wa miguu. Wanafikria wakicheza wachezaji kumi badala ya 11,wakishinda,watakuwa na hela nyingi zaidi za kugawana.
Ndio wakati wa Kampeni ya Urais,Kennedy alipokuwa anashindana na Nixon,wakati wa debate,Nixon alikuwa encumbent Vice President,anagombea kuwa Rais. Kennedy akamuuliza Nixon,kwamba yeye Kenndey,in his travels across the world,he has noticed that people are not interete to know about what the US President is doing. They just want to know about Kruschev,or about the Chinese,anamuuliza Nixon,why is this so?
 
Probably anafikiria atatoka na point gani itakayompa credit! Tumpe muda.Cha msingi Zito ameshatoa msimamo wa CHADEMA kuhusu migomo! tukitaka mbowe aongee tutakuwa tunamtaka yeye na maoni yake binafsi na sio CHADEMA!
 
mbowe mzugaji tuuu,hana lolote!!!Kwanza akalipe deni lake la NSSF.Huyu sasa ndo Fisadi,tena huyu fisadi kiwembe.

Unataka kusema wamembania huko ndio akafyata mdomo?????

I don believe that!!!! I am of the opinion kuwa Mbowe ni mtu makini sana, kuna wakati wa kusema na wakati wa kutenda. Isitoshe chadema iko live sana ktk maswala yote ya ufisadi yanayoendelea. Kama Mkti wa chama hiyo ni kazi yake! hana haja kusema zaidi!!!!!
 
Jamani mimi nina ham ya kumuona mke wa Freeman. Je kuna mtu anayo picha yake? If so naombeni mnitimizie haja yangu.

Maana sijawahi kuona wakipiga picha kama couple au ndio hawapendi u sele-briti?
 
Jamani mimi nina ham ya kumuona mke wa Freeman. Je kuna mtu anayo picha yake? If so naombeni mnitimizie haja yangu.

Maana sijawahi kuona wakipiga picha kama couple au ndio hawapendi u sele-briti?

GT
Huyo unayemwulizia picha yake nimepekua sijaona kwa sasa, ila bado analipa. Nilikuwa namzimikia sana, shepu, sura (macho) na upole wake. CV imejitahidi, ni daktari wa binadamu na ni mtoto wa Edwin Mtei. Ila jamaa kabla ya kuoa huyu alikuwa najitahidi sana kudaka manyapu bomba
Hivi tuko ukanda (forum) wa kuongelea mambo ya watu eeh, nisije nikapopolewa kwa kupoteza muda kufuatilia maisha ya watu lol
 
Mtei ni Ba-nkwe wa Mbowe????? Nalikuwa sifahamu hilo!!!!!
 
Jamani mimi nina ham ya kumuona mke wa Freeman. Je kuna mtu anayo picha yake? If so naombeni mnitimizie haja yangu.

Maana sijawahi kuona wakipiga picha kama couple au ndio hawapendi u sele-briti?
Ngoja niitafute nilikuwa nayo,mara nyingi hawakai pamoja labda Mbowe yuko busy sana na kusaka uraisi.
 
Ukiamua kuwa public figure basi ukubali mambo yako yote yawe nje
Yaani wewe hueleweki kabisa.......hapa unatetea kule kwa Emelda ulianza kutetea baadae ukawa kinyonga.Kuna watu baada ya kupost mnaasahau mliandika nini hapo nyuma..
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom