On every high hill and under every green tree you bowed down like a w.ho.re

On every high hill and under every green tree you bowed down like a w.ho.re

Hili ni tusi na nahisi kilikuwa kibuti kwa mtu, mwenye sifa zifuatazo alipenda sana watu wazito (high hills) na wote waliokuwa na pesa (green trees= green pastures) na kwao wote aliwahudumia bila kuwa na soni kama kahaba. Kwa kifupi alikuwa kicheche mpenda pesa na mapedeshee.
 
Tusi alichagui ke au me linaweza kwenda pande hizo zote mbili mkuu.
 
Sijui mafigurative wala nini, ila kwa reference ya Karucee kwenye biblia (for which im truly surprised and i will take one shot for that), w.h.o.r.e ni muabudu sanamu ama miungu mingine. Lugha ya picha hiyo.
Nice attempt.hivi neno W.h.o.re. figurative lamaanisha nini????????
 
Last edited by a moderator:
Hilo ni fungu ndani ya Biblia, na hapo Mungu anawaambia wana wa Israeli kuwa walimuacha na kuamua kupiga magoti kwa miti ili kufanya ukahaba na miungu migeni.
 
Hili ni tusi na nahisi kilikuwa kibuti kwa mtu, mwenye sifa zifuatazo alipenda sana watu wazito (high hills) na wote waliokuwa na pesa (green trees= green pastures) na kwao wote aliwahudumia bila kuwa na soni kama kahaba. Kwa kifupi alikuwa kicheche mpenda pesa na mapedeshee.
Ni fungu ndani ya biblia, lakini mtoaji inawezekana alilitoa kwa kuwa mhusika alionyesha tabia za kikahaba.
 
Kurecee yeye kasema ni lack of willingness to a person on his believe,wewe wasema muabudu sanamu .which is which????wapo waabudu masanamu wapo willing on their believes

Inaweza kuwa na maana nyingi inategemea na ilivyotumika mkuu.
 
Fungu lenyewe linapatikana katika kitabu cha Yeremia 2:20, linasema hivi
Kwa maana tangu zamani wewe umeivunja nira yako, na kuvipasua vifungo vyako, ukasema, Mimi sitatumika; kwa maana juu ya kila kilima kirefu, na chini ya kila mti wenye majani mabichi, umejiinamisha, ukafanya mambo ya kikahaba.
Na fungu hilo kwa lugha ya meli linasema hivi(natoa RSV).
"For long ago you broke your yoke
and burst your bounds;
and you said, 'I will not serve.'
Yea, upon every high hill
and under every green tree
you bowed down as a harlot.
 
duh mafungu ya biblia tena.watu wanahangaika kila mtu kwa mtazamo wake.
Sasa wewe hujui halafu unajidai ujuaji, haya fungu hilo hapo juu kama halihusiani na ulicholeta humu.
 
Nadhani tafsiri ifuatayo ya hilo fungu, itakuongoza kupata mwanga wa alichomaanisha aliyekutumia hilo neno.
Matthew Henry's Concise Commentary

2:20-28 Notwithstanding all their advantages, Israel had become like the wild vine that bears poisonous fruit. Men are often as much under the power of their unbridled desires and their sinful lusts, as the brute beasts. But the Lord here warns them not to weary themselves in pursuits which could only bring distress and misery. As we must not despair of the mercy of God, but believe that to be sufficient for the pardon of our sins, so neither must we despair of the grace of God, but believe that it is able to subdue our corruptions, though ever so strong.
 
Nafikiri lugha sahihi zaidi ingekuwa kutomuabudu Mungu wa kweli, whether due to lack of willingness ama kwa sababu una miungu mingine. Kwa lugha ya kiarabu ingekuwa kafir?
Kurecee yeye kasema ni lack of willingness to a person on his believe,wewe wasema muabudu sanamu .which is which????wapo waabudu masanamu wapo willing on their believes
 
Nafikiri lugha sahihi zaidi ingekuwa kutomuabudu Mungu wa kweli, whether due to lack of willingness ama kwa sababu una miungu mingine. Kwa lugha ya kiarabu ingekuwa kafir?

Hivi hapa mnajadili content or context? Busluma amequote hadi verse ktk bible ikisema khs hiyo kitu, na inaonekana imetokea huko ktk maandiko ya Mungu! Tafsiri za ishu za bible hazihitaji kamusi kiviiiile
 
Mwenye sredi yake keshasema hataki quote anataka majibu. Yumoe mji wa tandahimba akajenge hospitali ama barabara

Hahahahaah achana na watu kama hawa wanaotaka maana kwa ajili ya kujua maana na sio kujua context. Huenda ana maana anayoijua yeye sasa anapima wengine watasemaje.

Hiyo ni verse ya biblia ambayo ni sehem tu ya verse nyngi sana controversial
 
duh!!mtu kapewa hilo bango.Hilo ni fumbo hebu tusaidiane kulifumbua.manake mshikaji kaumiza sana kichwa kujibu.
Najaribu tu ila mimi si mtalamu. Wakati unapitia shida ngumu sana maishani na wakati unapeleka shida zako kupata usaidizi kwa mtu au shirika flani unakuwa mnyenyekevu sanaa.. hata kwa wengine wanakuwa tayari kufanya chochote utakacho amrishwa kufanya ilinradi mtoa msaada aridhike ili upate msaada uliouhitaji. Mfano wa wimbo wa bahati bukuku Dunia haina huruma.
 
This has nothing to do with sleeping around or being a prostitute.

This is a figurative expression indicating the lack of willingness in a person to stand firm in one's belief.

In my opinion, this phrase is related to the Biblical Era, and the advent of Christianity and the subject was unable to reaffirm his faith but desperately and in an exercise in futility resorted to all the gods of the time.

That's my best shot japokuwa hujaeleza umetoa wapi and in what context it was used.

Mhh...watu wako vzr bana!
 
Back
Top Bottom