Mkuu mi kidogo inanipa tabu hii.
Hebu nimuulize rafiki yetu Nkwesa Makambo na Ehud pamoja na mge na Ishmael waje watufumbulie hili fumbo.
Manake limekaa ki mpasho kidogo.
teh teh teh teh kithungu kimefanya watu wawe wanachungulia tu.unajua watu wana affairs humu wanaogopa wasiabike
Dah... Bonge la tusi aisee, aibuuuu!!!
Katika kila kilima kirefu na katika kila mti wa majani mabichi uliinama kama Kahaba.....
Nice attempt.hivi neno W.h.o.re. figurative lamaanisha nini????????