Ombi maalum. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ombi maalum.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mwanakili90, Feb 13, 2012.

 1. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Chit chat vema..?
  Najua wengi mtakua mmeitikia vema,vema, vema sana.

  Kwa kuwa wengi wetu tuna ndugu jamaa na wadogo zetu waliofeli(japokuwa mimi sikuwa na ndugu wala mdogo wangu aliyemaliza mwaka jana).

  Kipekee nachukua nafasi hii kuwajulisha members wote walio na failures majumbani kwao,watumie PM kunijulisha ili niweze kushugulika na huzuni na majonzi ya hao ndugu zao siku ya kesho tarehe 14.

  Note:wanawake waliofeli ndo walengwa.
   
 2. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 493
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ok. Lengo lako nishalifahamu, unatake advantage ya huzuni waliokuwa nayo kutokana na kufeli mtihani ili kumake sexual relathionship nao.Kwani wanafunzi wa kiume waliofeli hawahitaji upendo? Nakupa tahadhari, katika ya hao wanafunzi wa kike waliofeli yupo mtoto wa MKUU WA KAYA. Umechoka kukaa uraiani eeh? haya tutakuja kukuona SEGEREA.
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,993
  Likes Received: 2,714
  Trophy Points: 280
  kwani kesho kuna nini....mpaka ukusanye lundo la kuhuzunika.....?
   
 4. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #4
  Feb 13, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,758
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Sio bure.....una laana wewe!!
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Feb 13, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 160
  Siwezi, binti angu alivyo mzuri atabaki kweli???
   
Loading...