Nami niombee kwa shem wangu ladyfurahia na kwa mkwe Excel na kwako pia naomba. Afu mtalaka hatongozwi ujue!
ladyfurahia nashukuru kwa kuwa sehemu ya nyongeza ya income! thenkyooo! ntarudi kwa ajili yako..!!!
Remote japo unajitahidi kupiga maktaimu hapo
lakini jitahidi kushow lavu ili waje kwako.
uko hivi: Rep Power :2169
tatizo tangu my wife Madame B apotee jukwaani hata mimi stimu za kupita humu zimepungua.. na zaidi Heaven on Earth aliponitosa
ladyfurahia nimekuona mrembo wangu,
asante zangu zikufikie popote pale ulipo
tatizo tangu my wife Madame B apotee jukwaani hata mimi stimu za kupita humu zimepungua.. na zaidi Heaven on Earth aliponitosa
Mamndenyi nitakuwa nao kina nani!!!!!!!Madame B sijui ni nini kimemkimbiza humu;
Kumbe ni wako, Heaven on Earth ni maarufu humu jf lazima atakuwa nao.
Hilo la pili ndilo muhimu sana kwangu,
Salio nakuwekea kila mara sema tu hautilii maanani.
Kumbe ni yeye huwa nakutana naye mara kwa mara
Vipi yule demu wake wa kule MMU Je, ulifanikiwa kumpora?
ASANTE ASANA MAMITO ZIMESHAFIKA
BESTITO MM NA WEWE TENA hahahahahiya
lols... unajua napendwa sana mama (mamii-- hili bana halitoki ulimini mwangu! lols)Umepaa hadi unatisha mwaya.
lols... unajua napendwa sana mama (mamii-- hili bana halitoki ulimini mwangu! lols)
karibu tupate supu ya pweza!!