Ombi langu kwenu

Ombi langu kwenu

Kwa kuwa umekataza Kidhwungu tu, mi nitaungama kwa Kithwahili:
Nakupenda, au kwa Kiluo sio mbaya, neno moja tu =
Aheri.

By the way, kwa nini wewe na Nitonye mnakuwa mnapoteapotea sana?
 
an be aheri MAMMAMIA
 
Kabakabana wacha bwana! Nilitarajia ungeweka kastori kafupi kuhusu ulivyotendwa mpaka ukachukia hayo maneno matatu. Ni Excellent huyo au nani dear? Pole sana.Na pia usiwe unajificha namna hiyo maana mimi binafsi sipokuona jamvini nataka kula sumu.
 
Kwa kuwa umekataza Kidhwungu tu, mi nitaungama kwa Kithwahili:
Nakupenda, au kwa Kiluo sio mbaya, neno moja tu =
Aheri.

By the way, kwa nini wewe na Nitonye mnakuwa mnapoteapotea sana?

nitonye hajafika home muda kweli sijui yuko wapi!nimemmiss kweli kaka'ngu
 
Kabakabana wacha bwana! Nilitarajia ungeweka kastori kafupi kuhusu ulivyotendwa mpaka ukachukia hayo maneno matatu. Ni Excellent huyo au nani dear? Pole sana.Na pia usiwe unajificha namna hiyo maana mimi binafsi sipokuona jamvini nataka kula sumu.

excellent nishamtupilia mbali muda kweli,nimekumic sana ndugu yangu!
 
Back
Top Bottom