Ombi langu kwenu

Kabakabana

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
5,551
1,160
Ndugu zangu wanajf,naomba niwasilishe hili ombi kwenu.Naombeni hili neno 'i love u' lisitumike humu kwenye hili jukwaa kama siku 3 tu. Wengine linaturemind mambo ambayo hayatakiwi kuremindiwa.
Ahsanteni,
 
I love you Kabakabana!
 
Nakotogagwa mw'anike zunyaga shi - Nakupenda binti kubali basi.
 
I love U, kuliko my salary, ukinikubali nitakupa hata mke wangu!!!
 
Back
Top Bottom