Uwe mvumilivu tu jomba, mie niliomba mchango ninunue gari ili niweze kutekeleza vyema majukumu yangu ya uwenyekiti tangu mwaka jana hadi sasa nimesaidiwa side mirror moja used, wheel cap mbili used na oil lita moja na nusu. Nimevitunza na naendelea na mchakato, hope baadae ntapewa gear box ..... mdogomdogo hadi gari itakamilika.. it's just hope.