Ombi la kubadili kituo cha kazi

Ombi la kubadili kituo cha kazi

Tangazo lako halijakamilika
1. Yupo Handeni shule gani?
2. Anafundisha level gani (msingi Vs Sekondari)?
3. Anataka kuhamia wapii?
4.
5.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
"Nataka wa kubadilishan kituo mimi nipo TANGA WILAYA YA HANDENI NO;0628856440~kwa mawasilano

Wakuu kwa ambae yupo tayari uyo kijana kapangiwa ualimu sehem tajwa hapo juu amcheki kwa izo no
Swali la kwanza una kadi ? We ni mwenzetu baada ya kuruka viunzi hivyo kituo utabadili
 
  1. Fungua Module ya Transfer kwenye mfumo wa ESS.
  2. Nenda kwenye sehemu iliyowekwa jina "Transfer Exchange".
  3. Angalia sehemu ya "Incoming Exchange" ili kuona kama kuna mtumishi anayetaka kuhamia katika Halmashauri yako ya sasa.
  4. Kama kuna mtumishi anayehitaji kuhamia kwako NA wewe ungependa kwenda kwake, bofya "Request Exchange".
    • Mtumishi huyo atapokea taarifa kuwa unataka kubadilishana naye.
    • Akikubali kuhamia mahali ulipo, ata-"accept" ombi lako.
  5. Baada ya kuridhiana, taarifa zenu zitatumwa kwa Wakurugenzi wa pande zote mbili kwa ajili ya kupitishwa (approval).
  6. Kama hakuna aliyeomba kuhamia kwenye Halmashauri unayotaka kwenda, basi:
    • Wewe ndiye utaanzisha ombi la kuhamia huko.
    • Watumishi wa huko wakifungua mfumo, wataona ombi lako na kuweza kuomba kubadilishana kama wataridhika.
 
Daah Asante mkuu apo umemliza kila kitu
 
"Nataka wa kubadilishan kituo mimi nipo TANGA WILAYA YA HANDENI NO;0628856440~kwa mawasilano

Wakuu kwa ambae yupo tayari uyo kijana kapangiwa ualimu sehem tajwa hapo juu amcheki kwa izo no
Huyo angekuwa anahitaji Kuja ruvuma mbinga ingekuwa safii
 
Back
Top Bottom