Ombi kwa wanaotaka wahitimu tujiajiri

mnyoriii

JF-Expert Member
Apr 18, 2020
507
493
Imekuwa kama ibada kwa baadhi ya watu kututaka tujiajiri wakati hatuna A wala BE.

Sasa basi, tuko 20 tuna nguvu Alhamdullilah na tumesoma mpaka chuo na tuna shahada halali. Ombi letu kwenu nyiye munaohubiri tujiajiri:
  • Ardhi nzuri 200 acres
  • Tractor na accessories zake zoote na kiasi kidogo cha pesa cha kuanzia
Hivyo viwe kwa mkopo wa masharti nafuu muone tutakayofanya.
 
Hawawezi kutoa hivyo vitu kwasababu wansema tu mjiajiri lakini hawajui hata requirement zinazotakiwa ili mtu ajiajiri
 
Mpang mzur lakin ingekuw vyema kipnd mko chuon mngejiban kifedha mnapotoka mfany biashara
Sio kila mtu hupata mkopo chuo kikuu, pia kuna wanaopata mkopo lakini kwa asilimia ndogo sana kiasi kwamba boom lao wanatumia kulipa ada na kujikimu.
 
Imekuwa kama ibada kwa baadhi ya watu kututaka tujiajiri wakati hatuna A wala BE.

Sasa basi, tuko 20 tuna nguvu Alhamdullilah na tumesoma mpaka chuo na tuna shahada halali. Ombi letu kwenu nyiye munaohubiri tujiajiri:
  • Ardhi nzuri 200 acres
  • Tractor na accessories zake zoote na kiasi kidogo cha pesa cha kuanzia
Hivyo viwe kwa mkopo wa masharti nafuu muone tutakayofanya.
Chief wakukupa ivyo vyote BADO HAJAZALIWA labda uendelee kusubiriaa kama ujio wa Bwana Yesu Masiha
 
You're kidding mkuu hakuna mtu mwenye akili zake atafanya kitu kama hicho pia kumbuka hakuna cha bure hapa duniani lazima kila mtu ale kwa jasho lake.
Ulitakiwa kufikiria hilo since una miaka 14 nini utafanya endapo nitakosa ajira.
Au nitakuwa wapi 10years later.

Kipindi una umri wa miaka 14 ulikuwa unafikiria nini hasa?
 
Heka miambili!! Mnauzoefu na kilimo? Anzeni na heka 10, kisha mpande ngazi mpaka kufikia heka 200.kuna jamaa zangu walianzishaga kikundi wakapewa ardhi kubwa chunya, lakini hawakwenda kuilima kwa sbabu walikuwa wanafunzi.
Jaribuni kuandika proposal,msajili kikundi kisha msake fedha kutoka mfuko was vijana. Nadhani mkijipanga vizuri serikali inaweza ikawapa walau power tiler. Jarobuni kutafuta maeneo, Songea,Moro au Katavi,Simbawanga.
 
Hakuna kitu kigumu kama ushirikiano.

Mkikiweza kufanya hicho hata hao wanaowaambia kwa dharau vijana mjiajiri, wataanza kuwaogopa kabla hawatoa ushauri wowote.
 
Huwa nina mashaka sana kama viongozi wa Tz huwa wanawafikiria vijana kuhusu ajira. Nazungumzia ajira za serikali na sekta binafsi (sekta rasmi na sekta isiyo rasmi)

Je, serikali imetengeneza mazingira mazuri ya kujiajiri?

Au aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa!

Watanzania wanatakiwa wajue, ni jukumu la serikali (siyo ombi au hisani) kutengeneza mazingira ya ajira kwa vijana wake.

Wadau wengine huwa wanasema mfumo wa elimu ndiyo tatizo kwa vijana kujiajiri. Sasa serikali na wadau wanasubiri nini kuleta mfumo wa elimu mzuri utakaowafanya vijana wajiajiri? Jibu ni kwamba, tatizo la ajira kwa vijana linasababishwa na ubinafsi wa viongozi kwa makusudi kuacha kutatua changamoto zinazowakwamisha vijana kujiajiri.
 
Na wanafanya hivyo kwa makusudi kabisa wakijua vijana wao hawamo ktk kundi hilo, pili hakuna cha kuwafanya, tatu, vijana waendelee kuwa maskini wawatumie kwa maslahi yao kisiasa.
 
Jaribuni kwenda benki ya kilimo mtapewa mwongozo mzuri wa jinsi ya kuanzisha kilimo chenye tija, na kwa kupewa mkopo wenye masharti nafuu.
 
Imekuwa kama ibada kwa baadhi ya watu kututaka tujiajiri wakati hatuna A wala BE.

Sasa basi, tuko 20 tuna nguvu Alhamdullilah na tumesoma mpaka chuo na tuna shahada halali. Ombi letu kwenu nyiye munaohubiri tujiajiri:
  • Ardhi nzuri 200 acres
  • Tractor na accessories zake zoote na kiasi kidogo cha pesa cha kuanzia
Hivyo viwe kwa mkopo wa masharti nafuu muone tutakayofanya.
1. Mnataka mlime mahindi hayahaya ambayo mtu anaweza kukuzuia usiuze kisa eneo lake la utawala kuna njaa?
2. Mnataka mlime mazao yenye bodi za mazao, kisha muanze kuja hapa kulia lia eti bei sijui imefanyaje?
3. Mnataka mlime mpunga ambao sasa hivi, mchele bei haisomeki?
4. Mnataka mlime Mbaazi ambazo hazina soko?

Mimi niwashauri vizuri sawa na nionavyo mimi, limeni haya mazao,
1. Migomba( ndizi) tutazila pale mnadani na nyama choma
2. Limeni ulezi, tutengenezee mbege
3. Limeni maharage sababu ndiyo mboga ya serikali
 
Huwa nina mashaka sana kama viongozi wa Tz huwa wanawafikiria vijana kuhusu ajira. Nazungumzia ajira za serikali na sekta binafsi (sekta rasmi na sekta isiyo rasmi)

Je, serikali imetengeneza mazingira mazuri ya kujiajiri?

Au aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa!

Watanzania wanatakiwa wajue, ni jukumu la serikali (siyo ombi au hisani) kutengeneza mazingira ya ajira kwa vijana wake.

Wadau wengine huwa wanasema mfumo wa elimu ndiyo tatizo kwa vijana kujiajiri. Sasa serikali na wadau wanasubiri nini kuleta mfumo wa elimu mzuri utakaowafanya vijana wajiajiri? Jibu ni kwamba, tatizo la ajira kwa vijana linasababishwa na ubinafsi wa viongozi kwa makusudi kuacha kutatua changamoto zinazowakwamisha vijana kujiajiri.
Kaka kunywa soda hapo Kwa mangi nitakulipia
 
Imekuwa kama ibada kwa baadhi ya watu kututaka tujiajiri wakati hatuna A wala BE.

Sasa basi, tuko 20 tuna nguvu Alhamdullilah na tumesoma mpaka chuo na tuna shahada halali. Ombi letu kwenu nyiye munaohubiri tujiajiri:
  • Ardhi nzuri 200 acres
  • Tractor na accessories zake zoote na kiasi kidogo cha pesa cha kuanzia
Hivyo viwe kwa mkopo wa masharti nafuu muone tutakayofanya.

Kama mko serious nna ekar elfu 23 naweza wapa 1000 kule Naberera Simanjiro. Trekta ninalo ingawa linataka matengenezo sana kuna nyumba 13 nzuri sana za kuishi. Kama mpo tayari kuvumilia miezi sita tu mtavuna maharage gunia sio chini ya mia sita na kuuza kwa bei ya laki mbili au 180,000.
Njooni tuunde kampuni tukaanze kazi msimu wa kulima ndio huu sasa.
 
Hii unaitegemea itokee hapa TZ? Thubutuu.
 
Kama mko serious nna ekar elfu 23 naweza wapa 1000 kule Naberera Simanjiro. Trekta ninalo ingawa linataka matengenezo sana kuna nyumba 13 nzuri sana za kuishi. Kama mpo tayari kuvumilia miezi sita tu mtavuna maharage gunia sio chini ya mia sita na kuuza kwa bei ya laki mbili au 180,000.
Njooni tuunde kampuni tukaanze kazi msimu wa kulima ndio huu sasa.

Mwaka jana nilimpeleka kijana mmoja na hakua na mtaji ila amepata maharage magunia 30 alilima ekari sita. Kuuza kwa laki 210 . Mwaka huu anataka kulima ekari 50.
 
Hivi muongozo wa kujiajiri ni kilimo tuu ? Au mimi ndo sielewi labda nifafanuliwe
 
Kama mko serious nna ekar elfu 23 naweza wapa 1000 kule Naberera Simanjiro. Trekta ninalo ingawa linataka matengenezo sana kuna nyumba 13 nzuri sana za kuishi. Kama mpo tayari kuvumilia miezi sita tu mtavuna maharage gunia sio chini ya mia sita na kuuza kwa bei ya laki mbili au 180,000.
Njooni tuunde kampuni tukaanze kazi msimu wa kulima ndio huu sasa.
Mkuu nipatie mawasiliano yako. Asante

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Mwaka jana nilimpeleka kijana mmoja na hakua na mtaji ila amepata maharage magunia 30 alilima ekari sita. Kuuza kwa laki 210 . Mwaka huu anataka kulima ekari 50.
Hakuwa na mtaji akawezaje kulima
 
You're kidding mkuu hakuna mtu mwenye akili zake atafanya kitu kama hicho pia kumbuka hakuna cha bure hapa duniani lazima kila mtu ale kwa jasho lake.
Ulitakiwa kufikiria hilo since una miaka 14 nini utafanya endapo nitakosa ajira.
Au nitakuwa wapi 10years later.

Kipindi una umri wa miaka 14 ulikuwa unafikiria nini hasa?
Ntamtomba vipi MAGE 😂?
 
Back
Top Bottom