Ombi kwa wadada wote

Ombi kwa wadada wote

Kuna mmoja kavaa ki mini skirt kapita hapa kazini nje, ule upaja upaja unang'aa ng'aa hivi una nuru halafu umejazia, nikasema bora sijafunga, ningefunga angeweza kuniondolea udhu huyu.
 
kuna mfanyakazi alikuwa home hapa mwanzoni alikuwa ana boost ila baada ya kuzoea mazingira alikuwa anaachia ebwana ile sio ndala wala lamii ile ni zaidi ya dekio mzee zime lala kuliko godoro la mlinzi aisee ile ilikuwa chuchu saa kumi. yanii inabidi ukipishana nae ucheke na bado binti tu wa miaka 24 na alikuwa ana chura balaa
 
Kuna mmoja kavaa ki mini skirt kapita hapa kazini nje, ule upaja upaja unang'aa ng'aa hivi una nuru halafu umejazia, nikasema bora sijafunga, ningefunga angeweza kuniondolea udhu huyu.
fahari ya macho mkuu kiranga we tazama tu halafu achana nazo zipite tu
 
Back
Top Bottom