Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,520
- 185,654
Haha smart wangu kumbe hadi kuangalia tu Nidoz huwa mnasisimka??
chupi je nayo haupendi?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]tumekusikia mkaka ila Mimi jamani sidiria sizipendi ujue mpk sasa Mara nyingine sivaagi
Nimeweka imefutwaEbu weka picha tuone kama ni kweli...[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Haaaa kwa hiyo tuutamu wote njeHizo Mimi hapana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wakikujibu nishtueEbu ngoja kwanza......
Hivi kama hawavai brah, vipi kuhusu nandy..[emoji12] [emoji12]
Hata mama wa nyumban wanafanya hayo mkuuMkuu hao ni dada wa kazi so tafuta njia za kuwasilisha ili swala lako
Kufata vitafunwa
Kupeleka watoto shule
Onyo: huo ni mtego[emoji41]
mkuu masalimie sana mahondaw,vipi bado hajajifungua?
Sawa mkuuNimeweka imefutwa
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] shemeji vipi umepatwaWadada nawaomba Sana mkiwa mnaenda dukan asubuhi kununua vitafunwa au kupeleka watoto shule muwe mnavaa Sidiria jamani.
Acha tu shem zesh tabia zenu sio nzuri[emoji23][emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] shemeji vipi umepatwa
[emoji23][emoji23] naona unalipiza vya kritikaWadada nawaomba Sana mkiwa mnaenda dukan asubuhi kununua vitafunwa au kupeleka watoto shule muwe mnavaa Sidiria jamani.
Hahaha huyo dada ni kichaa nikionaga post zake sisomi tena[emoji23][emoji23] naona unalipiza vya kritika
Sawa bana tumekuelewa shem
[emoji23][emoji23] anawaambiaga ukweli lakiniHahaha huyo dada ni kichaa nikionaga post zake sisomi tena
Si kweli mkuu kwamba hao ni dada wa kazi, mimi nilishuhudia mmoja mama mtu mzima, Sinza (ni miaka 10 iliyopita). Namfungulia geti broo atoke kumbe kuna gari inataka ipite so inabidi wasubiliane, nikamwambia kuna mtu anapita na gari, akaniambia mwambie apite, nikampa ishara apite sijui hakunielewa, nikamfata kumwambia, akafungua kioo, looh! anamuwahisha mtoto apande gari la shule, kavaa kanga moja, ile design wanapitisha shingoni kanga halafu fundo linafungiwa nyuma ya shingo, huko chini kanga imekuwa fupi amefanya kuisokomeza hapo katikati, yaani kafanya kufunika njia ya uzazi tu, unaweza imagine huko Kalolo baki wazi kukoje, halafu ni mzuri balaa.Mkuu hao ni dada wa kazi so tafuta njia za kuwasilisha ili swala lako
Kufata vitafunwa
Kupeleka watoto shule
Onyo: huo ni mtego[emoji41]
Espy ana kuwa wapi?anhaa ndio sababu ya mimi kuamka mapema na kukaa kibarazani
Ukweli gani bana anamatatizo yule[emoji23][emoji23] anawaambiaga ukweli lakini
Kwema?