Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,625
- 38,751
- Thread starter
- #201
Aiseee,ikawa je mkuuSi kweli mkuu kwamba hao ni dada wa kazi, mimi nilishuhudia mmoja mama mtu mzima, Sinza (ni miaka 10 iliyopita). Namfungulia geti broo atoke kumbe kuna gari inataka ipite so inabidi wasubiliane, nikamwambia kuna mtu anapita na gari, akaniambia mwambie apite, nikampa ishara apite sijui hakunielewa, nikamfata kumwambia, akafungua kioo, looh! anamuwahisha mtoto apande gari la shule, kavaa kanga moja, ile design wanapitisha shingoni kanga halafu fundo linafungiwa nyuma ya shingo, huko chini kanga imekuwa fupi amefanya kuisokomeza hapo katikati, yaani kafanya kufunika njia ya uzazi tu, unaweza imagine huko Kalolo baki wazi kukoje, halafu ni mzuri balaa.
Kwasababu wanadai ukishaona maeneo yao muhimu huwa hawana tena confidence za kuchomoa kama ukiapply