Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,625
- 38,751
- Thread starter
- #101
Imooo hahaha aiseeSiku hiyo nimeenda zangu bombani kwa jirani kukinga maji nikakuta kuna mama mmoja anasafisha ndoo zake pale kavaa dela kila nikimcheck manyonyo yake yalivopangika kifuani pake siachi kutupia macho pale na tena na tena na tena hadi akajishtukia, akahamaki khaaaaaa we mbalizi1 vp? mbona unaniangalia hivo? Nikamwambia naangalia uumbaji wake Mola- basi nikampa mpa sifa zake pale ayaaaaaaaaaa! tulimalizana kibingwa tu