Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,625
- 38,751
- Thread starter
- #81
Sidiria tu mumu huko kwingine sie hata tukiona fresh tu[emoji23] [emoji23]Ni sidiria tuu,hakuna kingine??[emoji28]
Sidiria tu mumu huko kwingine sie hata tukiona fresh tu[emoji23] [emoji23]Ni sidiria tuu,hakuna kingine??[emoji28]
Sio mjomba ni uncle[emoji23] [emoji23]Amekimbia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni mjomba wao lkin
Kwa hiyo kwa sasa kahamia kwenye visiled aka viuzi?Hata ile ya Nandy si ilikuwa Throwback
Ashukuriwe mamaInawezekana nimemrithi mama angu!sivaagi miye
KweliiKweli??
Bora hata!
Luku imeisha, kingamuzi kimeisha , simu yangu pia mbovu , halafu kesho birthday yangu. (Haya mambo yanapatikana Tz tuu)
HakikaAshukuriwe mama
Kingine pantNi sidiria tuu,hakuna kingine??[emoji28]
Hawana mda hawa,asubuhi unakutana nae dukani unashangaa kizinga cha mazuwa makubwa ya nido wakati ulienda na kibuku ten chako kununua tigo ya 2000[emoji23] [emoji23] [emoji23]Madanga asubuh ?
Sawa sawa karibuKwelii
Kesho weekend
nitakutafuta.
Kwa nn tuziogope? Zinatisha ??Hahaha asubuhi yote hiyo..ziogopeni ndoa zetu bana hahaha
ni makubwa mkuu,hayaelezeki ila nilijibanza sehemu hali ikawa shwari ndio nikatembea tena kurudi ndani[emoji23] [emoji23]Hahaha Kwann? Nini kimekukuta mkuu
Si mnajua asubuhi lakini ndio kumekuchaa....Kingine pant
Shida ipo kifuani eeh[emoji16][emoji23]Sidiria tu mumu huko kwingine sie hata tukiona fresh tu[emoji23] [emoji23]
Kwa hiyo hamtupii sio!Si mnajua asubuhi lakini ndio kumekuchaa....
Kuna wwngine wanavaa vinguo vyepes halafu vinamwanga sana sasa kuna ule weusi weusi kwa juu..alooo msitufanyie hvyoHata sijui mie[emoji23] [emoji2] [emoji2]
Koooh kooohWengine ata chupi hawavai
[emoji23] [emoji23]Sawa ntakuita
Mmh,thubutu yangu,..teh!!![emoji28]ww pia huvai kitunza matiti?
[emoji23][emoji23] [emoji23] haya uncle MbaliziSio mjomba ni uncle[emoji23] [emoji23]