Ombi kwa Rais Samia, Niko chini ya miguu yako Rais Samia

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,169
Reaction score
48,681
Rais Samia tafadhali naomba usicheke na yeyote kwenye mambo ya kitaifa. Usiwe mpole sana. Huo upole wako ndio uliopelekea ghasia za October 29 -31.
Wanasiasa walioumizwa kipindi cha Magufuli hawakuweza kutoa kauli yoyote , wanasiasa waliozoea kula pesa za ubunge lakini Magufuli akaweka wabunge wake wakaamua kwenye uongozi wako ndio wajionyeshe miamba.
LISSU alipigwa risasi kwa amri ya MAGUFULI kila mtu anajua . Na Makonda ndiye aliyeongoza kikosi kazi cha kumuua LISSU lakini LISSU hajaleta kauli za no reforms no election kipindi cha Magufuli, aliingia kwenye uchaguzi mazima mazima .
Hawa akina Heche walichezewa rafu za mchana kweupe na Magufuli lakini hawajawahi kudai katiba mpya kwa nguvu kipindi cha Magufuli.
Kwahiyo kwenye uongozi wako please wasifanye kituo cha mapumziko.
Yeyote atakayekuchukulia poa mnyooshe mpaka ajue kuwa wewe ni Amiri jeshi mkuu.
Kuna wajinga mpaka sasa hawaamini kuwa wewe ni Amiri jeshi mkuu
 
Mwenzako usiku halali anawewesuka damu za watu maelfu alizomwaga zina mtesa kisa kulinda uongozi wa muda mfupi, damu ya mwanadamu siyo kama damu ya kuku hii ngoma hatoboi hata yeye mwenyewe anajua.
 
Upole wa Samia umemnufaisha Padre Kitima kagundua anakipaji kizuri cha kuimba taarabu, Padre Kitima kwa sasa anamzidi hadi Khadija Kopa kwa kuimba taarabu
 
Rais Samia tafadhali naomba usicheke na yeyote kwenye mambo ya kitaifa. Usiwe mpole sana. Huo upole wako ndio uliopelekea ghasia za October 29 -31.
Wanasiasa walioumizwa kipindi cha Magufuli hawakuweza kutoa kauli yoyote , wanasiasa waliozoea kula pesa za ubunge lakini Magufuli akaweka wabunge wake wakaamua kwenye uongozi wako ndio wajionyeshe miamba.
LISSU alipigwa risasi kwa amri ya MAGUFULI kila mtu anajua . Na Makonda ndiye aliyeongoza kikosi kazi cha kumuua LISSU lakini LISSU hajaleta kauli za no reforms no election kipindi cha Magufuli, aliingia kwenye uchaguzi mazima mazima .
Hawa akina Heche walichezewa rafu za mchana kweupe na Magufuli lakini hawajawahi kudai katiba mpya kwa nguvu kipindi cha Magufuli.
Kwahiyo kwenye uongozi wako please wasifanye kituo cha mapumziko.
Yeyote atakayekuchukulia poa mnyooshe mpaka ajue kuwa wewe ni Amiri jeshi mkuu.
Kuna wajinga mpaka sasa hawaamini kuwa wewe ni Amiri jeshi mkuu
Utter nonsense!
 
Mtu ameua Watanganyika zaidi ya 10,000 ndiyo upole huo? Huyu shetani lazima limkute jambo tu.
 
Rais Samia tafadhali naomba usicheke na yeyote kwenye mambo ya kitaifa. Usiwe mpole sana. Huo upole wako ndio uliopelekea ghasia za October 29 -31.
Wanasiasa walioumizwa kipindi cha Magufuli hawakuweza kutoa kauli yoyote , wanasiasa waliozoea kula pesa za ubunge lakini Magufuli akaweka wabunge wake wakaamua kwenye uongozi wako ndio wajionyeshe miamba.
LISSU alipigwa risasi kwa amri ya MAGUFULI kila mtu anajua . Na Makonda ndiye aliyeongoza kikosi kazi cha kumuua LISSU lakini LISSU hajaleta kauli za no reforms no election kipindi cha Magufuli, aliingia kwenye uchaguzi mazima mazima .
Hawa akina Heche walichezewa rafu za mchana kweupe na Magufuli lakini hawajawahi kudai katiba mpya kwa nguvu kipindi cha Magufuli.
Kwahiyo kwenye uongozi wako please wasifanye kituo cha mapumziko.
Yeyote atakayekuchukulia poa mnyooshe mpaka ajue kuwa wewe ni Amiri jeshi mkuu.
Kuna wajinga mpaka sasa hawaamini kuwa wewe ni Amiri jeshi mkuu
Uko chini ya miguu yake ili umfanye nini? Unadhani yeye au mumewe ataruhsu?
 
Siku akifungwa pingu na kupelekwa ICC, uongozane naye mkafungwe pamoja. Siyo tu unaleta uchawa wako hapa na kumpotosha, halafu siku likitokea la kutokea; unageuka kuwa Yuda Iskarioti.
 
Ni uharo au nini hiki! Aliyeelewa hii mada anisaidie tafadhali
 
Upole wa Samia umemnufaisha Padre Kitima kagundua anakipaji kizuri cha kuimba taarabu, Padre Kitima kwa sasa anamzidi hadi Khadija Kopa kwa kuimba taarabu
You must be crazy, mtu kaua watu elf 10 kwako ni mpole.
 
Siku akifungwa pingu na kupelekwa ICC, uongozane naye mkafungwe pamoja. Siyo tu unaleta uchawa wako hapa na kumpotosha, halafu siku likitokea la kutokea; unageuka kuwa Yuda Iskarioti.
Hilo dua la kuku halimpati Samia.
Kwa ufupi hamtafanikiwa matakwa yenu.
never
never
never
 
Labda tofauti iwe ni jinsia zao tu lakini kuhusu ukali Samia kamzidi Magufuli kivitendo na maneno.
 
Rais Samia tafadhali naomba usicheke na yeyote kwenye mambo ya kitaifa. Usiwe mpole sana. Huo upole wako ndio uliopelekea ghasia za October 29 -31.
Wanasiasa walioumizwa kipindi cha Magufuli hawakuweza kutoa kauli yoyote , wanasiasa waliozoea kula pesa za ubunge lakini Magufuli akaweka wabunge wake wakaamua kwenye uongozi wako ndio wajionyeshe miamba.
LISSU alipigwa risasi kwa amri ya MAGUFULI kila mtu anajua . Na Makonda ndiye aliyeongoza kikosi kazi cha kumuua LISSU lakini LISSU hajaleta kauli za no reforms no election kipindi cha Magufuli, aliingia kwenye uchaguzi mazima mazima .
Hawa akina Heche walichezewa rafu za mchana kweupe na Magufuli lakini hawajawahi kudai katiba mpya kwa nguvu kipindi cha Magufuli.
Kwahiyo kwenye uongozi wako please wasifanye kituo cha mapumziko.
Yeyote atakayekuchukulia poa mnyooshe mpaka ajue kuwa wewe ni Amiri jeshi mkuu.
Kuna wajinga mpaka sasa hawaamini kuwa wewe ni Amiri jeshi mkuu
Siku zote Chawa humshauli boss wake asifue nguo ili yeye aendelee kuishi sababu ya uchafu,kwa hiyo huna jipya
 
Rais Samia tafadhali naomba usicheke na yeyote kwenye mambo ya kitaifa. Usiwe mpole sana. Huo upole wako ndio uliopelekea ghasia za October 29 -31.
Wanasiasa walioumizwa kipindi cha Magufuli hawakuweza kutoa kauli yoyote , wanasiasa waliozoea kula pesa za ubunge lakini Magufuli akaweka wabunge wake wakaamua kwenye uongozi wako ndio wajionyeshe miamba.
LISSU alipigwa risasi kwa amri ya MAGUFULI kila mtu anajua . Na Makonda ndiye aliyeongoza kikosi kazi cha kumuua LISSU lakini LISSU hajaleta kauli za no reforms no election kipindi cha Magufuli, aliingia kwenye uchaguzi mazima mazima .
Hawa akina Heche walichezewa rafu za mchana kweupe na Magufuli lakini hawajawahi kudai katiba mpya kwa nguvu kipindi cha Magufuli.
Kwahiyo kwenye uongozi wako please wasifanye kituo cha mapumziko.
Yeyote atakayekuchukulia poa mnyooshe mpaka ajue kuwa wewe ni Amiri jeshi mkuu.
Kuna wajinga mpaka sasa hawaamini kuwa wewe ni Amiri jeshi mkuu
We endelea kumchungulia pumbavu wewe!
 
Sink tank kama sink tank
 
Back
Top Bottom