Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
wanajf nahitaji kadi ya uanachama chadema. Naomba maelekezo ya namna mimi natokea ilala, ofisi ziko wapi?
download katiba ya chadema futa taratibu za kuanzisha tawi fungua tawi ulipo na uwasiliane na uongozi wa eneo husika mtapata kadi.
wanaJF nahitaji kadi ya uanachama chadema. naomba maelekezo ya namna mimi natokea Ilala, ofisi ziko wapi?
download katiba ya chadema futa taratibu za kuanzisha tawi fungua tawi ulipo na uwasiliane na uongozi wa eneo husika mtapata kadi.
Nakubaliana na wewe kwa 100%. Mimi ni miongoni mwao na nitaanza maandalizi mapema ya kwende kugombea huko Mbinga 2015.
Mie natoa onyo kali kwa Mbunge mteule wa Kigamboni. Mungu anipe uhai, tuko sambamba 2015.
Hata mimi nasema Kigwangala ajiandae kuzolewa na mafuriko 2015 huko Nzega. Kama hatafunga buti kutatua kero za wananchi ajue itakula kwake 2015.
Matokeo ya sasa ya uchaguzi ni kaburi la CCM 2015
Silas karibu Nzega 2015 kama uko tayari kushindana na mimi!na mimi natangazA nia ya kugombea ubunge nzega 2015! Kwa miradi ya maendeleo niliyokusudia, kwa uwezo wangu wa kufuatilia utekelezaji wa sera za chama changu sidhani kama utafua dafu labda utafute jimbo lingine legelege! Nzega itakuwa ngumu sana kwako ndg yangu!
Nakushauri u-track my record ili ujue Kigwangala ni mtu wa aina gani ndipo uanze mkakati wako usije ukapoteza muda wako bure tu!
Wapendwa Maprofessor na Wasomi wa Vyuo Vikuu
Acheni kugombea kwa tiketi ya CCM. Iga mfano wa Professor Baregu, Dr.Mbassa, Professor Kahigi, Profeesor Mlambiti na wengine wenye mapenzi kwa mabadiliko. Mungu atawalipa zaidi mkiwakomboa watanzania walio wengi kuliko kujali ubinafsi.
Tukipata vichwa safi katika upinzani, hakika CCM itang'oka kwa asilimia 75% mwaka 2015.
Tuanze sasa.
Nami nahitaji kadi ya CHADEMA.
Jamani naomba utaratibu wa kuipata kadi ya CCM. Chama hiki kimenifurahisha sana. Kimewagaragaza wapinzani. WanaJamii forums sasa wamefura kwa hasira baada ya ndoto zao kuyeyuka. Niambieni jamani nitapata wapi kadi ya CCM?
Wasomi hawaihitaji kujiunga na chama na siasa kwani itikadi za kisomi ni kuwa unasimamia principles za fairness and truth. Kujiunga na chama fulani cha siasa ni kuhama kutoka kuwa msomi na kuwa mwanasiasa. Kuna msemo mmoja maarufu unasema " A Politician is a failed academician" . Hivyo sidhani Tanzania inahitaji wasomi kujiunga na chama fulani cha siasa bali ni suala la Watanzania kujitoa katika limbi la ujinga na kuelewa nini kinaendelea. Kwani tukiwa na taifa lenye kujua nini kinaendelea nadhani changes will come otherwise hata wasomi wote wakijiunga na chadema hakuna changes zozote zitatokea Tanzania. Kumbuka wanaopiga kura tanzania si wasomi pekee bali watanzania wenye kujua na wasiojua kusoma.
mkuu,
kukopi mawazo ya watu wengine na kuyachukuli kuwa ni final ni mbaya, na wewe ukiwa ni msomi unakubariana na huo msemo
wenye mapungufu ya fikra hapo
kwenye bold red?
Kitu kikubwa ambacho wanaweza kusaidia kwa mtazamo wangu ni kuzungumzia mapungufu ya katiba tunayo tumia kwa sasa na kuunga mkonoWasomi hawaihitaji kujiunga na chama na siasa kwani itikadi za kisomi ni kuwa unasimamia principles za fairness and truth. Kujiunga na chama fulani cha siasa ni kuhama kutoka kuwa msomi na kuwa mwanasiasa. Kuna msemo mmoja maarufu unasema " A Politician is a failed academician" . Hivyo sidhani Tanzania inahitaji wasomi kujiunga na chama fulani cha siasa bali ni suala la Watanzania kujitoa katika limbi la ujinga na kuelewa nini kinaendelea. Kwani tukiwa na taifa lenye kujua nini kinaendelea nadhani changes will come otherwise hata wasomi wote wakijiunga na chadema hakuna changes zozote zitatokea Tanzania. Kumbuka wanaopiga kura tanzania si wasomi pekee bali watanzania wenye kujua na wasiojua kusoma.