Ombi: Kipindi maalum ITV usiku leo

Ombi: Kipindi maalum ITV usiku leo

Kwa nini usiwaombe TBC wanatumia kodi yako .
ITV wako kibiashara kama unaweza gharimia urushaji wa kipindi hicho.
 
miaka ya digitali hii, sasaivi kila mtu kwenye simu yake yupo youtube anaangalia clip za lowasa alivyokuwa anaongea. wengi watadownload clip wawapelekee hadi ndugu zao kijijini, mwaka huu ni mwaka wa uhuru toka ccm.
 
Kilio kimesikika, baada ya habari ITV kila kitu kinakuwa wazi. TANESCO na wanaowatumia hawana chao tena!
 
Aise tunaishukuru itv kwa kusikia kilio chako mchana walizima umeme hatukuona!
 
Wakuu habari ,kutokana na Mh Lowasa mazungumza na watanzania leo saa kumi jioni,na kwakuwa tunasubiri kusikia mambo muhimu yanayolihusu Taifa kutoka kwake.

Ninaomba ITV warudie kipindi Mara baada ya taarifa usiku wa Leo.


Hii inatokana na sababu kuu mbili, mosi ni kuwa watu wengi muda huo atakaozungumza tutakuwa makazini bado pili kuna sehemu kubwa ya nchi umeme umekata muda huu.

Naomba kuwasilisha.
Wamesikia kilio cha watanzania baada ya taarifa ya habari ngoma itarudiwa
 
We BAVICHA wewe! tutaagiza wakate tena nchi nzima. tehtehteh!
Kweli siku zinaenda mbio. Huyu huyu Mussa Alan aliyekuwa anatusiwa humu kwa kuitetea ccm leo yuko ukombozini! Dah! Ni jambo jema lakini. Imeandikwa, "Njooni nyote kwangu, ninyi mlioelemewa na mizigo..."
 
Back
Top Bottom