Ombi: Kipindi maalum ITV usiku leo

Ombi: Kipindi maalum ITV usiku leo

Wakuu habari ,kutokana na Mh Lowasa mazungumza na watanzania leo saa kumi jioni,na kwakuwa tunasubiri kusikia mambo muhimu yanayolihusu Taifa kutoka kwake.

Ninaomba ITV warudie kipindi Mara baada ya taarifa usiku wa Leo.

Hii inatokana na sababu kuu mbili, mosi ni kuwa watu wengi muda huo atakaozungumza tutakuwa makazini bado pili kuna sehemu kubwa ya nchi umeme umekata muda huu.

Naomba kuwasilisha.

ITV ni kituo cha biashara..anacho angaia ni nini anaenefit..si na pesa boss wenu anunue air time! ola 10000 kitu gni kwake?!
 
wale mliopo maofisini mnabidi muingie au msikilize radio one online
 
Manyara, Arusha, Tanga, tabora, Mwanza na mbeya Kote wamekata umeme
 
That's why I hate politics, the same guy you painted with black brush, today he is a savior ?
 
uko sawa kabisa. Huku Mwanza hakuna umeme tangu asubuhi.
 
Back
Top Bottom