GE2025 Ombi: JWTZ tunaomba muingilie kati kinachoendelea nchini

GE2025 Ombi: JWTZ tunaomba muingilie kati kinachoendelea nchini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,206
Reaction score
25,399
Sina maneno mengi.

Jeshi la Wananchi wa Tanzania nyie ndiyo wenye last action juu ya ulinzi wa kila kitu kilichopo ndani ya nchi hii, chini majini au juu ya uso wa dunia ndani ya mipaka ya taifa letu.

Inafahamika, nyie hamuegemei popote.

Ila kwa wanayoendelea sasa hakika kwa heshima na taadhima ingilieni kati kuokoa taifa hili.

Taifa limekosa mtu wa mwenye last say hivyo kuna vijana wamejipa uzee wanaharibu taifa, ambalo lilipo sasa ni kama linaelekea shimoni.

Mimi tu raia mmoja huku mkoani kwetu napata joto kali kwa haya yanayoendelea nchini hasa kwa kutekwa ovyo raia ambao nyie ndiyo wenye jukumu la kuwalinda.

Kama jeshi la polisi limeshindwa kuwalinda raia hao basi chukueni hatua za haraka kuokoa nchi.

Nitarudi.
Nawasilisha.
 
Unaongelea hawa Wanajeshi wanaotoa Escort kwa madalali na mafisaid wa Taifa kwa malipo ya saa au jeshi lipi


Tuwen serious muda mwingine hakuna kitu ili jeshi litafanya...


Kumbuka CDF Kachaguliwa na huyu mama na alikuwa hata sio Favorite candidate kwa sababu alikuwa meja General sisi tukiwapigia hesabu maluten General Kachaguliwa kuwa CDF

Kwahiyo hakuna jipya na hili Tanzania yangu

Kama Melo alivyosema kwenye Interview tutapiga kelele miezi kadhaa then tunasahau
 
Hao viongozi wao wanakula firigisi hawana maana kwa sasa
 
Back
Top Bottom