Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,861
- 44,163
Hali ni tete aiseMkuu Comrade TODAYS mpaka wewe unayasema haya, basi yajao yanafurahisha
Hali ni tete aiseMkuu Comrade TODAYS mpaka wewe unayasema haya, basi yajao yanafurahisha
Huyo mafwele niachie mimi tafuta mwingine!Mimi naomba nikabidhiwe Mafwele tafadhari sana
Tafadhali sana Mafwele naomba nikabidhiwe mimi haiwekani aendelee kuchekewaHuyo mafwele niachie mimi tafuta mwingine!
ww Tz una serikali gan ss hv ? wale ni majambaz , wao waliunda katiba inayosema mamb yote ya usalama wa raia na mali zao yatasimamiwa na polisi na mahakama itatoa hukumu ila leo hii wanavunja sheria walizoweka wao wenyew , hapo kuna serikali au majanga?Tareh 29 Vipi? Mbona tena kuomba msaada kwa jeshi? 😂 Halafu jeshi haliendeshwi kwa hisia zenu kwamba kila mtu anaejua kuitukana serikali basi huyo ndio mzalendo? Kwenu hata kama baba yako anakosea ila kupita kumtukana na kumkashifu mtandaon sio adabu sembuse rais ambae ana watu na majeshi? Jifunzeni adabu kwanza ili hata siku mukipewa nchi muheshimiwe...
Nakaribisha matusi ya aina zote coz zaidi ya matusi hamuna hoja nyingne.
Achana na hao unaodhani hao siyo wenyewe, wanajeshi wenyewe na ambao wapo nyuma ya Captain Tesha wapo pale Monduli na hapo Morogoro kambini kwao C T.Unaongelea hawa Wanajeshi wanaotoa Escort kwa madalali na mafisaid wa Taifa kwa malipo ya saa au jeshi lipi
Tuwen serious muda mwingine hakuna kitu ili jeshi litafanya...
Kumbuka CDF Kachaguliwa na huyu mama na alikuwa hata sio Favorite candidate kwa sababu alikuwa meja General sisi tukiwapigia hesabu maluten General Kachaguliwa kuwa CDF
Kwahiyo hakuna jipya na hili Tanzania yangu
Kama Melo alivyosema kwenye Interview tutapiga kelele miezi kadhaa then tunasahau
Mbina unajihami mdogo wangu!.Tareh 29 Vipi? Mbona tena kuomba msaada kwa jeshi? 😂 Halafu jeshi haliendeshwi kwa hisia zenu kwamba kila mtu anaejua kuitukana serikali basi huyo ndio mzalendo? Kwenu hata kama baba yako anakosea ila kupita kumtukana na kumkashifu mtandaon sio adabu sembuse rais ambae ana watu na majeshi? Jifunzeni adabu kwanza ili hata siku mukipewa nchi muheshimiwe...
Nakaribisha matusi ya aina zote coz zaidi ya matusi hamuna hoja nyingne.
Wazee wa 92Achana na hao unaodhani hao siyo wenyewe, wanajeshi wenyewe na ambao wapo nyuma ya Captain Tesha wapo pale Monduli na hapo Morogoro kambini kwao C T.
Kuna siku nilikutana na mada moja kule Quora ilikuwa inahusu kwanin kuna uhalifu mkubwa sana kwenye nchi nyingi za South America...Nchi sasa hivi inaendeshwa na wahalifu tu kama Haiti
Jeshi Gani? Aliyekuambia nchi Ina jeshi ni nani?Sina maneno mengi.
Jeshi la Wananchi wa Tanzania nyie ndiyo wenye last action juu ya ulinzi wa kila kitu kilichopo ndani ya nchi hii, chini majini au juu ya uso wa dunia ndani ya mipaka ya taifa letu.
Inafahamika, nyie hamuegemei popote.
Ila kwa wanayoendelea sasa hakika kwa heshima na taadhima ingilieni kati kuokoa taifa hili.
Taifa limekosa mtu wa mwenye last say hivyo kuna vijana wamejipa uzee wanaharibu taifa, ambalo lilipo sasa ni kama linaelekea shimoni.
Mimi tu raia mmoja huku mkoani kwetu napata joto kali kwa haya yanayoendelea nchini hasa kwa kutekwa ovyo raia ambao nyie ndiyo wenye jukumu la kuwalinda.
Kama jeshi la polisi limeshindwa kuwalinda raia hao basi chukueni hatua za haraka kuokoa nchi.
Nitarudi.
Nawasilisha.
Ni kweli kwa yanayoendelea tutafika tu hukoKuna siku nilikutana na mada moja kule Quora ilikuwa inahusu kwanin kuna uhalifu mkubwa sana kwenye nchi nyingi za South America...
Jamaa mmoja ambaye kwa ID anayotumia kule anaonekana ni raia wa kule kule South America akasema kuwa...
....Kwa nchi kama Colombia hili Raisi amalize muhula wake hata mmoja ni lazima aongoze kwa kufuata conditions za viongozi wa magenge ya uhalifu, tofauti na hapo atakula shaba mchana kweupe... yaan ukiona Raisi amemaliza muhula wake ujue amekubali kuishi vizuri na zile drug cartels.
Akaongezea akasema kule muhalifu haiogopi kabisa serikali, bali anamuogopa muhalifu mwenzie.
...Sasa naona na hapa kwetu hayo maisha yanatunyemelea, yaani hili Raisi adumu madarakani ni lazima akubali kufuata conditions za wahuni/wana mtandao.
Sasa hivi imefika mahali raisi wetu anawaogopa zaidi wahuni/wana mtandao kuliko hata wanainchi, yaan yeye anaamini usalama wake umeshikiliwa na wahuni na wanainchi hawana cha kumfanya.